Nape ni dini gani

dini yake sio muhimu kwetu, cha muhimu achape kazi. Ila kwa kasi aliyo nayo lazima ataambiwa apungunguze makali, kwani wadau mmesahau yaliyomkuta Dr. wa ukweli- DR.MAGUFULI?
 
hebu mtoa mada tuambie kwanza dini yako,kisha tuambie faida ya hiyo dini yako kwa jamii,......
 
<br />
<br />

bora wewe ulikuwa unamtania mdogo wako, nilichokiandika hapo juu kinatoka kwenye source za uhakika kabisa kwamba mshikaji yule mzee sio dingi wake.
Baba yake Nape ni nani yuko wapi na anafanya nini? na kwa nini Nape aitwe Nape Moses Mnauye? sitalajii majibu mepesi kwa maswali mazito, naomba mwenye ukweli auleze in details. si vyema Great Thinkers tukaongozwa na emotions badala ya facts.
 
Back
Top Bottom