Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

Nape Nauye unaongea pumba, maneno yako yananuka damu ya Watanzania wasio na hatia na wazalendo na wacha Mungu ndani na nje ya Tanzania tutawalaani wewe na Mwigulu Mwenyezi Mungu awaadhibu Watanzania wote tukishuhudia hata iwe fundisho kwa wenye tabia za kigaidi kama za kwenu. Vijana mnamzidi hata shetani kwa dhambi, ee Mungu hawa pia ni kazi ya mikono yako lakini wanayotufanyia Watanzania si makusudi yako, wanaokufa na walemavu sidhani kama ni waovu kuliko Nape na Mwigulu.
 
Me nadhani mbowe ndiye anastahili kupewa million mia coz alishatutajia wahusika mapema kuwa ni serikali,ila sidhani kama serikali itakuwa imehusika ni michezo michafu tu ya kiasi ili kuweza kujiongezea umaarufu na kwa hilo wamefanikiwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.

Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.

Tunawashukuru sana kote walikoonyesha imani yao kubwa kwa Chama chetu kwa kutupa dhamana ya kuendelea kuwatumikia. CCM inawaahidi utumishi uliotukuka.
2.jpg

Hata wale 27.28% walioamua kuwajaribu wenzetu, tunawatakia kila lakheri, kwani wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua wanaodhani watawasaidia kufikia malengo yao ya kimaendeleo. Uchaguzi kwenye kata hizi zote umeisha sasa tuwatumikie wananchi.

Kata nne za jiji la Arusha hazikufanya uchaguzi baada ya kuahirishwa kufuatia tukio la kusikitisha la kulipuka kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema mjini Arusha tarehe 15/06/2013.

CCM tunalaani tukio hilo la mlipuko wa bomu na matukio yanayofanana na hayo katika nchi yetu. Tunawapa pole wale wote walioathirika na tukio hilo.

Ni vizuri serikali ikalichunguza swala hili kwa kutumia muda mfupi na kuhakikisha waliohusika wanapatikana na kuchukuliwa hatua zinazostahili.

Pamoja na kulaani na kuitaka serikali kukomesha vitendo hivi nchini, ni wakati muafaka kwa vyama vya siasa nchini kujitazama upya kwani kuna kila dalili kuwa tukio hili kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa ni la kupangwa, inawezekana limepangwa na Chadema wenyewe.

Hali ya kisiasa jijini Arusha kuelekea uchaguzi huo ilikuwa wazi kuwa wana Arusha walishaamua kuzirudisha kata hizo nne kwa CCM, hasa baada ya kuchoshwa na maandamano na vurugu za kila siku jijini Arusha.

Aidha kauli za kukata tamaa za viongozi wa Chadema na vitendo vyao ni dalili tosha kuwa tukio hili lilipangwa na Chadema wenyewe.

CCM tunaendelea kusisitiza na kulaani juhudi za wenzetu kujaribu kujenga umaarufu wa chama chao juu ya damu za Watanzania. Juhudi hizi zinapaswa kulaaniwa na wazalendo wote ndani na nje ya nchi.

Tukumbuke asiyekubali kushindwa, si mshindani. Si busara wala uungwana na ni kinyume na utu kutumia majanga ya kutengeneza kama mtaji wa kisiasa.

Lakini CCM tunalaani pia kitendo cha viongozi wa Chadema kujaribu kutumia baadhi ya misiba na majeruhi wa tukio hili kisiasa na mwisho wa siku kwenda kuwatelekeza hospitali baadhi yao baada ya kuwaahidi kubeba gharama zote za matibabu na mazishi.

Tunaipongeza serikali kwa kuingilia kati na kuwasaidia waathirika hawa na kuhakikisha wanapata huduma inayostahili.

CCM inarudia kueleza masikitiko yake kwa waathirika wa tukio hili la kinyama na kikatili lisilostahili kuvumiliwa hata kidogo.

Kama Chama tumeguswa sana na tukio hili pamoja na kulilaani, tunawasihi watanzania tushindane na kutofautiana bila kupigana na kuvunja tunu ya nchi yetu ya amani na utulivu.

Katika demokrasia ya vyama vingi swala la kuvumiliana ni swala la msingi sana katika kufikia ukomavu wa demokrasia hiyo.

Imetolewa;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi.
17/06/2013

video fupi siku ya tukio.

Mbowe akiitaja serikali kuhusika

Chanzo: CCM Blog: CCM YALAANI TUKIO LA MLIPUKO WA MABOMU ARUSHA

Pumbavu sana.It's nonsense.
 
Last edited by a moderator:
Wahusika ni hawa
Nape Nauye
Mwigulu Nchemba
Juliana Shonza
Mtera Mwampamba,, FBI wakija waanzie na hao, baada ya kuhakikisha mpango umeenda sawa wakatimkia Dodoma!

leo nilikuwa namuona yule haramia mkubwa mwigilu akikodoa macho bungeni..yaani he was looking guilty even from the out side look.
 
Nape umenena kwani watu wa AR wamechoshwa sana na siasa za maji taka za kijana mbumbumbu Lema.Huyu AR yote kaiharibu na taswira nzuri ya AR itakimbia
 
NAPE NA MWIGULU ni kizazi kilichotokana na UZAZI wa Mwanadamu na MAJINI.Mama zao ni binadamu wa kawaida na BABA zao ni MAJINI.Mtasumbuka sana na hawa watu.Hawana utu na hawatakuwa na utu sababu DAMU ni chakula cha MAJINI kwa hiyo matukio ya mauaji wataendelea kuyapanga na kuyatekeleza ni sehemu ya maisha yao na ni furaha yao.
 
We ni kizazi cha nani? Au cha ng'avanga?
 
Katika hali isiyo ya kawaida au ya kawaida kwake, nikiwa nasililiza taarifa ya habari ya bbc Nape alisema "Bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha lilipangwa na CHADEMA wenyewe kwa sababu waazi wa Arusha wamechoka siasa za CHADEMA"
1. Nilisikia miguno kwa watu wote waliokuwa karibu, watoto,vijana na wazee waliguna.
2. Mimi binafsi nilipatwa na hasira kwani hii ndo sura halisi ya ccm inayotuongoza na kutudanganya waziwazi

my take
Kama wananchi wameichoka chadema je wanakikubali chama gani?

Wananchi wanahudhuria kwa wingi sana mikutano ya ccm na cuf kuliko chadema?

Apimwe akili kwa nguvu hyu hajitambui
Kwa hiyo kazi yako ilikuwa kusikiliza na kangalia miguno??? Ccm ni chama pendwa hapa tz, chadema wauwaji tu
 
Jamani hivi Nape anaumwa ugonjwa gani wa akili? Hivi ndivyo kabisa think tank ya ccm ilipoishia! Wazee wote wa ccm wanaona kauli hizi ni sahihi na katibu wake Kinana? Ina maana huyu Nape akiandika press release hashirikiani na katibu wake kuona contents zake au washauri wengine wa kuandika hotuba? Hivi huyu ndiye aliyezawadiwa ukuu wa wilaya? hivi huyu ndiye anayejidai ana master's degree anashindwa kuwa reflective, analytical and kuwa na critical thinking! walah sijawahi kuona katibu mwenezi bmu kama Nape tangu nizaliwe anazidiwa kabisa na katibu wa cuf mtatiro!! Kauli za Nape na Lukuvi aliyejipachika cheo cha uwaziri wa mambo ya ndani zinasikitisha sana, pia mmekosa hekima ya utu uzima na utu.

Taarifa ya CCM ya chaguzi za marudio za Kata mbalimbali, Juni 201317/06/2013

Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.

Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.

Tunawashukuru sana kote walikoonyesha imani yao kubwa kwa Chama chetu kwa kutupa dhamana ya kuendelea kuwatumikia. CCM inawaahidi utumishi uliotukuka.

Hata wale 27.28% walioamua kuwajaribu wenzetu, tunawatakia kila lakheri, kwani wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua wanaodhani watawasaidia kufikia malengo yao ya kimaendeleo. Uchaguzi kwenye kata hizi zote umeisha sasa tuwatumikie wananchi.

Kata nne za jiji la Arusha hazikufanya uchaguzi baada ya kuahirishwa kufuatia tukio la kusikitisha la kulipuka kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema mjini Arusha tarehe 15/06/2013.

CCM tunalaani tukio hilo la mlipuko wa bomu na matukio yanayofanana na hayo katika nchi yetu. Tunawapa

pole wale wote walioathirika na tukio hilo.

Ni vizuri serikali ikalichunguza swala hili kwa kutumia muda mfupi na kuhakikisha waliohusika wanapatikana na kuchukuliwa hatua zinazostahili.

Pamoja na kulaani na kuitaka serikali kukomesha vitendo hivi nchini, ni wakati muafaka kwa vyama vya siasa nchini kujitazama upya kwani kuna kila dalili kuwa tukio hili kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa ni la kupangwa, inawezekana limepangwa na Chadema wenyewe.

Hali ya kisiasa jijini Arusha kuelekea uchaguzi huo ilikuwa wazi kuwa wana Arusha walishaamua kuzirudisha kata hizo nne kwa CCM, hasa baada ya kuchoshwa na maandamano na vurugu za kila siku jijini Arusha.

Aidha kauli za kukata tamaa za viongozi wa Chadema na vitendo vyao ni dalili tosha kuwa tukio hili lilipangwa na Chadema wenyewe.

CCM tunaendelea kusisitiza na kulaani juhudi za wenzetu kujaribu kujenga umaarufu wa chama chao juu ya damu za Watanzania. Juhudi hizi zinapaswa kulaaniwa na wazalendo wote ndani na nje ya nchi.

Tukumbuke asiyekubali kushindwa, si mshindani. Si busara wala uungwana na ni kinyume na utu kutumia majanga ya kutengeneza kama mtaji wa kisiasa.

Lakini CCM tunalaani pia kitendo cha viongozi wa Chadema kujaribu kutumia baadhi ya misiba na majeruhi wa tukio hili kisiasa na mwisho wa siku kwenda kuwatelekeza hospitali baadhi yao baada ya kuwaahidi kubeba gharama zote za matibabu na mazishi.

Tunaipongeza serikali kwa kuingilia kati na kuwasaidia waathirika hawa na kuhakikisha wanapata huduma inayostahili.

CCM inarudia kueleza masikitiko yake kwa waathirika wa tukio hili la kinyama na kikatili lisilostahili kuvumiliwa hata kidogo.

Kama Chama tumeguswa sana na tukio hili pamoja na kulilaani, tunawasihi watanzania tushindane na kutofautiana bila kupigana na kuvunja tunu ya nchi yetu ya amani na utulivu.

Katika demokrasia ya vyama vingi swala la kuvumiliana ni swala la msingi sana katika kufikia ukomavu wa demokrasia hiyo.

Imetolewa;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi.
17/06/2013​

Source: Taarifa ya CCM ya chaguzi za marudio za Kata mbalimbali, Juni 2013 - wavuti.com
 
Nami nimemsikia,nimesikitika mno!!!
Kiongozi wa Chama tawala unazungumza kitu ambacho ukiwekwa kati ya mawakili utajikanyaga.
Palikuwa na haraka gani,je akiitwa auelezee mpango mzima ataeleza kitu kweli?
So sad!!!!!!!!!!!!!!
Nimesikitika mno na nimekata tamaa na CCM,kweli wamefilisika kiasi hiki,inasikitisha!!

Kuna siku waliweka Cv yake kuwa alifeli kidato cha nne kwa daraja la nne lakini an degree ya uzamili ya chuo kikuu cha mzumbe wakati alisomea uhazili .Kwahiyo ukiunganisha Cv yake unapata mantiki ya katibu mwenezi huyo anaupeo na uwezo gani kiutawala..Kimsingi, bado yuko kwenye blakenti inayomfanya awe usingizini sana; kwamba masuala ya kisheria ambayo yanahitaji ushahidi usio na mashaka, huwa hayajibiwi kisiasa kwa propaganda.Sheria ni "facts" si kuhisi au kudhani kama anavyosema NAPE.Kinasikitisha hata kujiamini huko kunashangaza kuona, vyombo vya dola kama usalama na polisi wanamwacha bila kufanyia kazi uropokaji huo,wakati ndo chanzo cha kujenga ufa wa chuki katika jamii ;Ambapo jamii inaona kuwa kuna watu wenye madaraja na matabaka ya kuwa na haki kupita wengine kama akina nape kwa kuropoka watakavyo bila kuchukuliwa hatua za kisheria.leo lukuvi anashngaa jamii kutokuwa na imani na polisi , je ni mara ngapi polisi Arusha imeua wananchi wasiona hatia? , lInawezekana kivipi waipende serikali na polisi? je serikali imefanya maridhiano gani na jamii?ni mara ngapi polisi imefanya kamatakamata isiyokuwa na haki na kuacha maswali mengi Arusha?sasa nape anaropoka bila kujali kuwa ni kuendeleza kuumiza roho za watu wakisiakia mtu anafanya mzaha
kwenye maisha ya watu wasio na hatia na kutoa porojo zisizo na mashiko. inawakasirisha sana.siku moja siasa na utawala vitaisha , je watu kama akina NAPE wataishi kwa msitakabari upi?wapo watu ni makada wakubwa wa ccm hawana vyeo lakini wanaishi kwa amani ,sababu waliishi vyema na jamii.haya ya nape siku moja atakumbuka kauli zake.
 
Kama viongozi wote watakuwa wazi kama nape haya mambo yangeshaisha lakini chadema wamekuwa wakifanya uharifu mwngi lakini hawaelezwi ukweli.

bila kupepesa macho nape umesema kweli tena kweli isiyochenga hakuna haja ya kunyamaziana tena ni aibu kwa chama kama chadema kuendeshea siasa kwenye damu za watu.
 
Kuna siku waliweka Cv yake kuwa alifeli kidato cha nne kwa daraja la nne lakini an degree ya uzamili ya chuo kikuu cha mzumbe wakati alisomea uhazili .Kwahiyo ukiunganisha Cv yake unapata mantiki ya katibu mwenezi huyo anaupeo na uwezo gani kiutawala..Kimsingi, bado yuko kwenye blakenti inayomfanya awe usingizini sana; kwamba masuala ya kisheria ambayo yanahitaji ushahidi usio na mashaka, huwa hayajibiwi kisiasa kwa propaganda.Sheria ni "facts" si kuhisi au kudhani kama anavyosema NAPE.Kinasikitisha hata kujiamini huko kunashangaza kuona, vyombo vya dola kama usalama na polisi wanamwacha bila kufanyia kazi uropokaji huo,wakati ndo chanzo cha kujenga ufa wa chuki katika jamii ;Ambapo jamii inaona kuwa kuna watu wenye madaraja na matabaka ya kuwa na haki kupita wengine kama akina nape kwa kuropoka watakavyo bila kuchukuliwa hatua za kisheria.leo lukuvi anashngaa jamii kutokuwa na imani na polisi , je ni mara ngapi polisi Arusha imeua wananchi wasiona hatia? , lInawezekana kivipi waipende serikali na polisi? je serikali imefanya maridhiano gani na jamii?ni mara ngapi polisi imefanya kamatakamata isiyokuwa na haki na kuacha maswali mengi Arusha?sasa nape anaropoka bila kujali kuwa ni kuendeleza kuumiza roho za watu wakisiakia mtu anafanya mzaha
kwenye maisha ya watu wasio na hatia na kutoa porojo zisizo na mashiko. inawakasirisha sana.siku moja siasa na utawala vitaisha , je watu kama akina NAPE wataishi kwa msitakabari upi?wapo watu ni makada wakubwa wa ccm hawana vyeo lakini wanaishi kwa amani ,sababu waliishi vyema na jamii.haya ya nape siku moja atakumbuka kauli zake.
Mkuu kwani mwnyekiti wa chama chako ana nini si alipata zero kidato cha sita.

Haya mnyika naye anaelimu gani hata haileweki,kaenda chuo kikuu kakimbia hata hajamaliza acha kuongea masuala ya elimu viongozi wako wanatia aibu kwenye kada ya elimu.huyo lema kidato cha pili,haya sugu la saba sasa unaongea nini mkuu.
 
MENE MENE TEKELI NA PERES CCM. Kiburi cha Nape, Lukuvi na Mwigulu ni kama cha Nebukadreza. Tuombe, nchi iko pazuri. Hakuna lililositiriwa ambalo halitadhihirishwa. Na huu ni mwanzo wa udhihirisho wa siku zao za mwisho.
 
Au mjukuu wake sadam..alijisifu kw ababu yake huyo...siku si nyingi naye akaokotwa akiwa na manywele kama mnyama..US wakafungua domo kama wanampa ng`ombe dawa za minyoo.
 
Kwa aliye fuatilia mahojiano yake na mtangazaji wa sauti ya Amerika jana jioni kuhusiana na mlipuko wa bomu Arusha atajiuliza kama kweli mtu huyu huwa anatumia ubongo kufikiri au makamasi? Yaani haushughulishi kabisa ubongo wake kufikiri..anaropoka tu bila kujali nafasi aliyonayo ni watu wangapi wenye busara wako nyuma yake.
 
Jamani hivi Nape anaumwa ugonjwa gani wa akili? Hivi ndivyo kabisa think tank ya ccm ilipoishia! Wazee wote wa ccm wanaona kauli hizi ni sahihi na katibu wake Kinana? Ina maana huyu Nape akiandika press release hashirikiani na katibu wake kuona contents zake au washauri wengine wa kuandika hotuba? Hivi huyu ndiye aliyezawadiwa ukuu wa wilaya? hivi huyu ndiye anayejidai ana master's degree anashindwa kuwa reflective, analytical and kuwa na critical thinking! walah sijawahi kuona katibu mwenezi bmu kama Nape tangu nizaliwe anazidiwa kabisa na katibu wa cuf mtatiro!! Kauli za Nape na Lukuvi aliyejipachika cheo cha uwaziri wa mambo ya ndani zinasikitisha sana, pia mmekosa hekima ya utu uzima na utu.

Taarifa ya CCM ya chaguzi za marudio za Kata mbalimbali, Juni 201317/06/2013

Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.

Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.

Tunawashukuru sana kote walikoonyesha imani yao kubwa kwa Chama chetu kwa kutupa dhamana ya kuendelea kuwatumikia. CCM inawaahidi utumishi uliotukuka.

Hata wale 27.28% walioamua kuwajaribu wenzetu, tunawatakia kila lakheri, kwani wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua wanaodhani watawasaidia kufikia malengo yao ya kimaendeleo. Uchaguzi kwenye kata hizi zote umeisha sasa tuwatumikie wananchi.

Kata nne za jiji la Arusha hazikufanya uchaguzi baada ya kuahirishwa kufuatia tukio la kusikitisha la kulipuka kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema mjini Arusha tarehe 15/06/2013.

CCM tunalaani tukio hilo la mlipuko wa bomu na matukio yanayofanana na hayo katika nchi yetu. Tunawapa

pole wale wote walioathirika na tukio hilo.

Ni vizuri serikali ikalichunguza swala hili kwa kutumia muda mfupi na kuhakikisha waliohusika wanapatikana na kuchukuliwa hatua zinazostahili.

Pamoja na kulaani na kuitaka serikali kukomesha vitendo hivi nchini, ni wakati muafaka kwa vyama vya siasa nchini kujitazama upya kwani kuna kila dalili kuwa tukio hili kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa ni la kupangwa, inawezekana limepangwa na Chadema wenyewe.

Hali ya kisiasa jijini Arusha kuelekea uchaguzi huo ilikuwa wazi kuwa wana Arusha walishaamua kuzirudisha kata hizo nne kwa CCM, hasa baada ya kuchoshwa na maandamano na vurugu za kila siku jijini Arusha.

Aidha kauli za kukata tamaa za viongozi wa Chadema na vitendo vyao ni dalili tosha kuwa tukio hili lilipangwa na Chadema wenyewe.

CCM tunaendelea kusisitiza na kulaani juhudi za wenzetu kujaribu kujenga umaarufu wa chama chao juu ya damu za Watanzania. Juhudi hizi zinapaswa kulaaniwa na wazalendo wote ndani na nje ya nchi.

Tukumbuke asiyekubali kushindwa, si mshindani. Si busara wala uungwana na ni kinyume na utu kutumia majanga ya kutengeneza kama mtaji wa kisiasa.

Lakini CCM tunalaani pia kitendo cha viongozi wa Chadema kujaribu kutumia baadhi ya misiba na majeruhi wa tukio hili kisiasa na mwisho wa siku kwenda kuwatelekeza hospitali baadhi yao baada ya kuwaahidi kubeba gharama zote za matibabu na mazishi.

Tunaipongeza serikali kwa kuingilia kati na kuwasaidia waathirika hawa na kuhakikisha wanapata huduma inayostahili.

CCM inarudia kueleza masikitiko yake kwa waathirika wa tukio hili la kinyama na kikatili lisilostahili kuvumiliwa hata kidogo.

Kama Chama tumeguswa sana na tukio hili pamoja na kulilaani, tunawasihi watanzania tushindane na kutofautiana bila kupigana na kuvunja tunu ya nchi yetu ya amani na utulivu.

Katika demokrasia ya vyama vingi swala la kuvumiliana ni swala la msingi sana katika kufikia ukomavu wa demokrasia hiyo.

Imetolewa;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi.
17/06/2013​

Source: Taarifa ya CCM ya chaguzi za marudio za Kata mbalimbali, Juni 2013 - wavuti.com
Kweli hamna kitu CCM.
Ulikuwa na kata 20 ukapoteza tano bado unajisifu.
Kujivua gamba kulianzia kutoka ushindi wa kishindo kwenda asilimia 60 na watu wakakaa na kutafakari,mwenzetu amepoteza viti vya udiwani bado anajiona mshindi na anaona hakuna impact yoyote,POLE NAPE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom