Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

LOWASA KWELI AMEINUNUA CHADEMA

Yadaiwa makubaliano yake na Mbowe ni kuwa wale wote ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kumchafua wasishiriki kumnadi na hata kutokuongelea mchakato mzima wa urais

Yeye ndiye aliyemlazimisha Mbowe, Slaa akapumzike kijijini na pia Mbowe aweke masharti magumu ili yaimalize CUF bara ambapo Lipumba alivyoona hivo akaamua kunawa mikono yake kutojihusisha kabisa.

Inasemekana Salum Mwalim naibu katibu mkuu chadema Zanzibar ndiye anayekaimu ukatibu mkuu kwa sababu Lowasa ndiye aliyemuingiza hapo kwenye hiyo nafasi halafu ni mfanyakazi wa Channel 10 mpaka sasa ambapo Lowasa na Rostam wanajitahidi kukitumia ktka shughuli zao.

Mzee Lowasa ameandaa mkakati wa kuhakikisha Lissu, Msigwa, Lema na Mnyika hawarudi bungeni na ni masharti aliyopewa Mbowe akakubali.

Wakati ukishangaa CCM wanalalamikiwa kuminya demokrasia kwa ukawa waliibaka mbaya mno kwani Slaa hata fomu hakujaza ili ashindwe kwa kujadiliwa kuwa hana vigezo au wagombea wa Chadema, CUF, NCCR na NLD wapigiwe kura ili apatikabe mwakilishi badala yake Mbowe akawaruhusu wakutane na wateue jina moja.

Awali wakati wanakutana Dkt. Slaa, Prof. Lipumba, Emanuel Makaidi, na James Mbatia katika vikao vyao walikubaliana Slaa ndiye mgombea wa Ukawa badae mambo yakawa tofauti kabisa.

Mbowe na Maalim Seif nyuma ya pazia washamalizana na Mzee Lowasa kuwa ndiye atakuwa mgombea. Baadae Mbowe akawaambia wenzie wasimtangaze kwanza mgombea wao!

Siasa ni utumishi CCM. Ukawa siasa ni ujasiriamali. Zaidi ya bilioni 10 zadaiwa kuwa chanzo cha hayo yote.

WATANZANIA TUWE MAKINI KUTAFAKARI HAYA, TUSIKUBALI KIRAHISI RAHISI HIVO.

sawa mama unajitaidi kumwaga ushuzi. hizi ndio akili za wanaccm kwa kukalia majungu na siasa maji taka.
 
Tafakari upya hiyo sio issue tena.go back to the drawing board. Hiyo imechuja tayari sio siri wala sio habari
 
Yapo wazi hayo! Chadema cjui itabaki vipi baada ya oct
 
Afadhali cdm imeuzwa kwa lowasa kwa ajili ya kuyaondoa mafisadi ikulu kuliko Tanzania ilvyouzwa kwa hao mafisadi wachache
 
jiulizen nyie mtakuaje baada ya lowasa kuapishwa...

😮 huyo atakae muapisha lowassa nani?!? Labda mbowe alie uza utu wa chama na kuvua nguo maswahiba wake kwa tamaa ya pesa kidunchu aliyo ongea mkapa bado nayazingatia! Yani mtu mmempaka miaka kwa miaka then within 3dei mnamkaribisha na kua mtawala wenu! Zoom iyo pic ujikumbushie kampeni za viongozi wenu kabla huyo kidudumtu kuingia hapo
 
ni kweli ameiuza na ndio maana wagombea mbali mbali wamekatwa ambao wameshinda kura za maoni na kupewa aliokuja nao lowasa
 
Hana uchungu na maisha ya Watanzania yeye bora amesha chukua kilicho chake hana wasi wasi, aliyenunua ndio anakua na hati miliki kwa mantikihii ni lazima aliokuja nao boss wapewe nafasi. ZINDUKA WEWE MTANZANIA EPUKA KUFATA BIASHARA HII WEWE HAIKUHUSU
 
Muuzaji na Mnunuaji wote hawana busara na adabu iliyo njema, hawa itakii mema nchi yetu. pinga mafisadi kwasababu wata pambana kurudisha fedha zao nasio kuwa hudumia watanzania
 
mkuu ni kweli kabisa nape jana alikuwa kama punje ya mavi ya mbuzi ameshajuwa nini kinakwenda kuikumba ccm yeye mwenyewe ubunge atausikia tu na kuangalia kwenye tv!!

Ndo maana mm kilasiku napenda kusemakua ana mjichomikubwa ubongo wa mende.
 
Back
Top Bottom