Jimmy Mjanja
Senior Member
- Jul 9, 2017
- 103
- 37
hahahahaha....asa kamsafisha au kamponda rais kiaina!!!!
Wanataniana tuanamaanishs pia hata rais kumuondoa kwnye cabinet alitania tu
Si kweli hakusema kwa utani. Kama alisema kwa utani ni kwanini katoa vifungu vya sheria na kutaja mawaziri husika mfano wa mambo ya ndani. Tatizo letu sisi ni wana nafiki hatuwezi hata kukubali ukweli hata kama kuna video. Ni bora uchukue muda kufikiri ni kwanini hali ya nchi ipo hivi badala ya kushabikia ukabila, ukanda, na udini ambao unaingia iko siku utajibu ulikuwa upande gani kwa nchi yakoNakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Mbona walisitisha kubomoa. Huyu jamaa Ni mkabila haijapata tokeaNakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Nape bora angenyamaza tu!Basi hata tundu lissu aliposema hatujawahi kupata rais wa ajabu kama huyu, na yeye alikua anatania.