Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Hapo mimi,naona anaemtania mwenzake ashughurukiwe maana anaetania kuwa mwenzake katania nae ana utan



Usipo elewe pita kushoto

Tutasikia sana hizi pambio zenu haya sisi tupo

Naona panya anauwawa taratibu na mtungi unabaki

Tehtehtehteh!!!!!!!
Ndo raha ya kuwa mnafiki yaan ndo maana hata zitto yuko hivi haeleweki





Ukitaka kuwa mnafiki Jitoe fahamu
 
Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Si kweli hakusema kwa utani. Kama alisema kwa utani ni kwanini katoa vifungu vya sheria na kutaja mawaziri husika mfano wa mambo ya ndani. Tatizo letu sisi ni wana nafiki hatuwezi hata kukubali ukweli hata kama kuna video. Ni bora uchukue muda kufikiri ni kwanini hali ya nchi ipo hivi badala ya kushabikia ukabila, ukanda, na udini ambao unaingia iko siku utajibu ulikuwa upande gani kwa nchi yako
 
Kumbe nae ni mwoga ameanza kujipendekeza,hata kutumbuliwa kwake ilikuwa utani arudi kwenye uwaziri,hovyo Nape!
 
Hilo ni bonge la Dongo kwa Mh Mkulu. Tafsiri yake ni kuwa hawezi kuongea hili Jambo mtu kama huyo Unless hayuko serious! Hivyo ni Dongo na ndiyo maana anasema hawezi jua nani alimpa Kura na nani hakumpa Nchi Nzima! Kama muelewa Mkulu ajitafakari kwa Kauli hiyo pia.
 
Hata mleta mada katania na hii coment natania. Mwendo wa utani tu, hata kuisoma namba ni utani tu.
 
Maajabu mengine hayo yanaendelea maan huu utani wa Ringo na Tin sasa umeamia Ikulu daaaah, huku ni kupatwa kwa Tanzania. CCM acheni uhuni inchi imewashinda pisheni msitegemee police ipo siku tutawachoka hao police wenu
 
Sisi huku bara tunasema: UKIMCHEKA MCHINJA MBWA, WAZIMU UTAKURUDIA!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom