Nape katupa dongo kwa mkulu oohh... hata ule utenguzi wake wa uwaziri raisi alikua anatania.
It was jus a human pooUnaninukuu ili iweje na uliyoyaandika!?
Wewe nape ni mnafiki kuliko unavyo onekana !! Ulikaa wapi na magufuli,akakwambia alitania !!! Sasa walivyokujaribu na Nissan,subiri uokotwe ruvu,au baharini.kujikomba gani huko ili urudishiwe uwaziri au upewe ukuu wa mkoa ??? Hovyo kabisa wewe.kauli ya magufuli haikua hata na uso wa utani,wala chembe ya aibu ni mtu wa kauli mbaya na ngumu maisha yake yote tangia uwazizi.kigamboni wapige mbizi,kama hawana hela ya kivuko nk. unayajua fika,leo unajikomba kumsafisha,ili akupende ? Ile bastola ilipita sasa bisbis watakuchoma nayo tu,mwanga kweli kweli huyu mtu !watu tunalia na matendo/kauli za magufuli wewe unamlinda !!! Unapata nn hasa cha kukufanya uwe hovyo hivyo?
...ukiona hivyo ujue kashanusishwa UbaloziKwa hiyo kama ni utani bomoa bomoa itaendelea au.?
Nappe Ni utovu wa nidhamu kusema Rais anatania wakati kauli yake imehusisha mawaziri zaidi ya watatu.!
kwani ulishawahi kumpinga liniNakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Kama alikuwa utani je wamebolewa au utani umefanyiwa kazi?.Hata kama ni kuutafuta u DC wa Mnyeti utafute kwa stahaa.Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Mbungewa mtama Nape Nnauye akiwa anahojiwa na DW amesema kitendo cha rais Magufuli kusema watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura ilikuwa ni utani sababu rais ni mtu anayependa kutania
Amesema pia ameshangazwa na bomoabomoa iliyofanywa kwa wananchi ambao serikali ilikuwa imewarhusu kujenga na kusema jambo hilo halifai
Ameseendelea kusema pia hana mpango wa kuhama CCM lakini hawezi kuapa kama hatahama chama hicho
Unasema Utani wakati wengine wanabomolewa!?... Kimara! tena kwa kukiuka amri ya mahakama! Hao mbona hakuwatania? Utani katika ubaguzi, double standards! Utani unaufanya kwa kabila lako, na hawabomolewi, lakini kwa wachaga ? wahaya? etc hakuna utani!Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!