Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
How can you be so sure...!!? Inaelekea Propaganda ya Nape imekuingia ............!!

Yah right!! Inaelekea hata wale maDED waliofukuzwa alipowambia amewasamehe alikuwa anatania tu!!

Hivi ni mara ngapi tumeambiwa Rais alikuwa anatania ..... Kwa mtindo huu itabidi kila anaposema kuwe na mtu anayeverify upi ni utani na upi ni serious!!
 
Back
Top Bottom