Nape, Lusinde Na Mkapa MMETUHUJUMU ARUMERU

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.

Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema

Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama
 
Wewe c ndo umesema sijui kwenye thread gani kule ccm inaongoza kwa kura 8700,nashukuru maana naona ulikuwa utani,ccm si shule ya matusi kuleni na kunywa matusi,
 
Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema
Wote hao wamechapa kazi kadiri ya uwezo wao na sera za chama chao
1. Nape alimwaga sera hivi: Tumeshashinda kwani tuna madiwani kata zote 17
2. Lusinde alimwaga sera hivi: Kudadadeki, huyu tia mimba, yule tia mimba, yule tia mimba, kudadadeki
3. Mkapa alimwaga sera hivi: Tuna imaaaani na Siooooi, oyaa, oyaa, oyaaaaa! Pia alisema Vincent si wa ukoo wao (nadhani wajua Mkapa yupo ukoo wa Nyerere)
 
1. Mkapa kung'ang'ania uongo kumefanya lolote ulilosema baadae lisiaminike.
2. Vurugu zinazotengenezwa na Chama kila wakati wa uchaguzi hazisaidii. Zinaharibu zaidi kwani watu waneshajua huo ujinga.
3. Matusi, vijembe, uongo, badala ya sera.
4. Kuwaamini na kujisifia waganga wa kienyeji kila uchaguzi mmeandika "mene mene tekeli na peresi"
5. Kuacha kushughulikia kero ya ufisadi na kuukumbatia ndio mwisho wa Chama hiki kupendwa na watu wenye busara na heshima.
 
Eti Nape atasema nilitabiri kushindwa arumeru kisa pesa ilitumika kutafuta mgombea.
Yeye hawezi kukiri kuwa cdm ni level zingine kabisa. Pale hakuna ambaye angeshinda kama ilivyo kwa Nape akigombea cheo kwa kura hushindwa. 2010 wananchi wa ubungo walimpa kura kiduchu sana. Kuongezeka kwa EL ndio kuliipa ahueni ccm la sivyo wangekauka kama mti mkavu
 
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.

Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema

Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama

Magamba wangekuwa na mshauri mzuri angewashauri wamshauri Mzee wa masuala ya Kiwira (Uwazi na ukweli)ajipumzikie na kutafuna matunda ya ustaafu. Siasa za jukwaani za kizazi kipya haziwezi. Anajiaibisha.
 
mabadiliko yataletwa na vijana. vijana wenye akili huu ni mwanzo tu. tusilale. kuanzia vyuoni mpaka mtaani, tusilale. i really love cdm. i admire cdm.
 
Kama kweli chadema itashinda arumeru nitaamini kwa dhati kuwa mgawanyiko au mpasuko ndani ya ccm ni mkubwa na very serious kuliko tunadhani au unavyosemwa
 
Kama kweli chadema itashinda arumeru nitaamini kwa dhati kuwa mgawanyiko au mpasuko ndani ya ccm ni mkubwa na very serious kuliko tunadhani au unavyosemwa

Mkuu, siyo suala la mgawanyiko, ukweli ni kwamba chama chenyewe kimeishiwa - Yakima jipya, na 'think tank' yake haina lolote. We uliona wapi chama badala ya kumwaga sera kinamwaga matusi? Hiyo ni dalili tosha kwamba hicho chama kimeishiwa.
 
Eti
Nape atasema nilitabiri kushindwa arumeru kisa pesa ilitumika kutafuta
mgombea.
Yeye hawezi kukiri kuwa cdm ni level zingine kabisa. Pale hakuna ambaye
angeshinda kama ilivyo kwa Nape akigombea cheo kwa kura hushindwa. 2010
wananchi wa ubungo walimpa kura kiduchu sana. Kuongezeka kwa EL ndio
kuliipa ahueni ccm la sivyo wangekauka kama mti mkavu

atasemea wapi?? usimsingizie!
 
Mkuu, siyo suala la mgawanyiko, ukweli ni kwamba chama chenyewe kimeishiwa - Yakima jipya, na 'think tank' yake haina lolote. We uliona wapi chama badala ya kumwaga sera kinamwaga matusi? Hiyo ni dalili tosha kwamba hicho chama kimeishiwa.

CCM imeishiwa sera kwasababu kinaendeshwa na mavuvuzela na wastaafu!!
 
Kama kweli chadema itashinda arumeru nitaamini kwa dhati kuwa mgawanyiko au mpasuko ndani ya ccm ni mkubwa na very serious kuliko tunadhani au unavyosemwa

Hakuna cha mgawanyiko Chadema ni lazima washinde inakubalika hawa na mtaji wa madiwani wao 17 waliopata kwa wizi tu
 
Mkapa amejizalilisha sana.
Ningemshauri asishiriki katika kampeni zozote ili angalau kulinda sehemu ndogo ya heshima yake iliyobaki.
 
Naona mmeshaanza kutafuta mchawi. Hakuna mchawi hapo. Siyo Nape, siyo Mkapa, Siyo Wassira, siyo Lusinde.
Yeyote yule ambaye CCM ingempeleka Arumeru matokeo yangekuwa ni yale yale. CCM kwishney.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom