Nape, Lusinde Na Mkapa MMETUHUJUMU ARUMERU

Nape, Lusinde Na Mkapa MMETUHUJUMU ARUMERU

viva cdm hakuna km ww dalili tosha ya ikulu 2015...I love cdm
 
Hii ni ishara kuwa watu hapendi khanga wala ubwabwa wanapenda maendeleo.
 
jamani naomba taarifa kamili kuhusu matokeo ya huko arumelu kwan kusema tu hivyo bado ninamashaka. hawa jamaa wa CHECHEMEA WANAWEZA CHUKUA CHAO MAPEMA kwani wali2fanyia hivyo igunga. please mwenye taarifa nisaidie niko hali mbaya mpaka nifahamu matokeo halisi ndooo ntatulia
 
mi nakwambia 2015 patachimbika,kuna migamba imeng'ang'ania ofisi za serikali,full kutunyonya tu
 
Mwigulu alikosa mke wa mtu ndo maana wametokota.
 
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.

Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema

Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama

Waliopanga timu ya kampeni ndo wa kulaumiwa. Meru ni kaskazini ambapo bado kuna maadili. Matusi mbele ya wazazi wakiwepo watoto hayavumiliki.

Mzee malecela amewasaidia sana kwenye kampeni nyingi za nyuma. Sii kwamba alikuwa anabahatisha ila japo aliwadanganya wananchi, alitumia busara ya hali ya juu. Zile busara zilikuwa za kwake binafsi na sii kuwa huwa zinatoka kwa mtu yeyote anayetokea Mtera!!!!
 
Ushindi wa Chadema ni zaidi ya kuongeza idadi ya wabunge wake. Ushindi huo ni ishara mbaya kwa CCM lakini njema kwa Chadema. Synovate na wale wengine wako wapi? Kuna utafiti unaozidi huo uliofanywa na wananchi wa Arumeru? Kuna gazeti moja likasema CCM itashinda kwa asilimia 68. Sikuelewa lilifanya wapi utafiti huo. Au lilimaanisha kinyume chake? Ushindi wa Chadema Arumeru Mashariki utadhoofisha sana imani ya wananchi kwa CCM na kuimarisha kuaminika kwa Chadema. Mwenye macho haambiwi TAZAMA.
 
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.

Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema

Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama
EL je alimpenda mkwewe zaidi lakini wana-arumeru hawakumpenda, poor Sioi, loosing ur father and election, pole sana, ungejua ungeendelea kuomboleza tu, siasa za majitaka za CCM uachane nazo, zinakuvunjia heshima tu (kama unayo heshima lakini - maana huko kwenye chama lenu sioni mwenye heshima hata mmoja)
 
Kumbe kile chama
wote heshima ni sifuri
ndo sbb hawajashinda
 
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.

Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema

Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama

finally...signs of sobriety and modesty appear to be creeping back in. oh boy!
 
WanaCCM wengi kazi yao katika kampeni ni Ku-malima na ku-lusinde wananchi.
 
safari ya ccm nifikiri imewadia na mwaka 2015 tutawaweka kwenye majumba ya makumbusho hasa baba L.
 
Hii ni ishara mbaya kwa chama hakuna msaada wowote mliotusadia
chama kimehujumiwa Arumeru haiwezekani jimbo litoke ccm
lirudi upinzani.

Nape katibu mwenezi umefanya kazi gani?

Lusinde matusi yako yamesadia?

Mkapa sina cha kusema

Mwenyekit wa chama huu ni muda mwafaka wa kuwawajibisha watendaji wako katika chama

kwa nini kwa m*kwapa huna cha kusema? Si useme tu kuwa kaua
 
Naomba mwigulu unambie kumbe Barcelona inakuwaje vile ikikutana na ile ndogo?????????????
 
Hawa ndio ccm iliyo nao, ambao Nape alisema wamechunjwa kwa umakini mkubwa ili kuleta ushindi na watu safi tena wachapa kazi
 
Kupigana walipigana ila maji yalizidi unga ndio maana wakapigwa mweleka kisa magamba!
 
Nina amini mkapa kama statesman (raisi mstaafu) itabidi sasa apumzike. Kwa heshima aliyo wahi kujijengea huko nyuma hasa ktk kipindi cah uongozi wake angebaki kuwa mshauri wa vyama vyote vya siasa kwani alipokuwa raisi alikuwa kiongozi wetu wote. Heshima yake na maraisi wengine wote hawangepaswa kujiingize tena kweny local politics na kujaribu kuwararua wananch ambao yeye (wao) walikuwa wakiongozwa nae/nao.

Staesmen wote -- kwa kujua nafasi zao kwa watu wao hawapaswi tena kuwa upande mmoja wanapotoka kwenye ulingo wa u-statesman -- wawe tayari kushauri vyama vya siasa kwa lengo la ustawi wa watu wao na nchi kwa ujumla.

Kama wanataka kuendelea kuwa kwenye siasa basi siasa zao ni kwa vyama vyote -- else -- walikuwa hawana sababu ya wao kuwa raisi wa wote
 
Back
Top Bottom