Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Ninyi wapambe wa Mh.Lowassa mnapoanza kujenga hoja za kuitisha CCM haziwezi kuwasaidia katika harakati zenu.

CCM haikujengwa katika msingi wa kutikisika achilia mbali kutikiswa na mwanachama.

CCM haiopopi kuanguka katika chaguzi, ndiyo maana inaingia katika chaguzi zote nchini.

CCM haiwezi kuwekwa rehani na wanachama achilia mbali mwanachama.

CCM na KANU wapi na wapi achilia mbali siasa za Kenya na Tanzania.

Fanyeni siasa safi ndani ya chama na siyo siasa za kuitisha CCM.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kitendo cha mgombea mmoja anayepokea makundi ya watu ili wamshawishi kupiga kura huko Dodoma ni kuanza kampeni na yuko hatarini kuenguliwa.

Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye anayepokea makundi ya watu wakiwemo masheikh, maaskofu na wanafunzi wakimshawishi kugombea.

Akizungumza na radio VOA, Nape alisema: "Labda niweke vizuri hili, mtu yoyote anayekiuka kanuni hatapitishwa labda kamaa anakwenda kugombea kwa chama kingine.

"Kinachofanyika Dodoma cha watu kuchukuliwa na magari huku wengine wakiwa hawajui, halafu wakifika wanakuta viti vimeshapangwa na vyakula;halafu eti wanamshawishi kugombea, ni kukiuka kanuni na anaweza kuondolewa," alisema Nape.

Pesa za Marehemu Gadafi toka kwa Membe zimemlewesha hadi kaamua kujitoa Fahamu.
 
Ha ha ha ha ha unaweza kuta ulikuwepo katika lile kundi la masheikh waliokwenda kulamba viatu vya Lowassa.



Ukweli ni kwamba Lowassa hana sifa,kipaji,weledi na ubunifu wa kutuongoza waTanzania.Andelee kuchunga mbuzi wake Monduli.Hivi mvua za kutengeneza zimeishia wapi.

Sauti ya Watanzania
 
Lowasa Anaweza Huyo Nape Anajikanyaga 2 Hana Lolote, Anaempenda Yeye Cc Hatumpend Sasa Anatulazmisha Kukubaliana Na Anachotaka Yey Wap Na Wap
 
Tanzanian PM to resign over graft

[TABLE="align: right"]
[TR]
[TD]
_44410170_palowassa203.jpg
Mr Lowassa told MPs his decision had not been an easy one

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tanzania's Prime Minister Edward Lowassa has tendered his resignation after being implicated in an energy deal corruption scandal. He has denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006.
The firm failed to provide emergency power during a power crisis in 2006.
Following Mr Lowassa's announcement to parliament, two other ministers linked to the scandal resigned.
The BBC's Africa analyst Mary Harper says the offer of resignation from such a senior member of government for alleged links with corruption is unprecedented in Tanzania, and unusual in Africa.
But Tanzania has been getting more serious about corruption since President Jakaya Kikwete was elected in 2005.
Just last month, the governor of the central bank was sacked following the disappearance of public funds from the bank.
'Lacked expertise'
The BBC's Vicky Ntetema in Dar es Salaam says Richmond was contracted to bring in generators to provide 100 megawatts of electricity each day after a drought early in 2006 left low water levels in dams leading to severe power cuts.

[TABLE="align: right"]
[TR]
[TD="width: 5"]
o.gif
[/TD]
[TD="class: sibtbg"]
start_quote_rb.gif
I've offered my resignation... to register my disagreement with the manner in which the committee misled parliament
end_quote_rb.gif



Edward Lowassa
Tanzanian prime minister

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
But a parliamentary inquiry, launched in November, found that the generators failed to arrive on time and when they did, they did not work as required.
By the time the company was ready to start operations, Tanzania's power problems had been resolved.
Despite these failings, the government was contracted to pay Richmond more than $100,000 a day.
Mr Lowassa's office later influenced the government's decision to extend Richmond's contract despite advice to the contrary from the state-run energy company Tanesco, the inquiry alleges.
Richmond "lacked experience, expertise and was financially incapacitated", ruling party MP Harrison Mwakyembe, who headed the investigation, is quoted by Tanzania's Guardian newspaper as telling parliament on Wednesday.
Richmond transferred its tender to another company, Dowans, last year.
Emotion
Mr Lowassa, who has denied any links to the scandal, has suggested the parliamentary committee investigating the energy deal was given the wrong information.
"I've thought long and hard about this issue. I've offered my resignation without any ill motive," he said in an emotional speech to parliament on Thursday morning.
"I've done it to as a sign of my responsibility and to register my disagreement with the manner in which the committee misled parliament."
Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi and Ibrahim Msabaha - a former energy minister and now in the East African Community ministry - resigned on Thursday afternoon.
Our correspondent says Mr Lowassa, who entered politics in the 1980s, is a very close ally of President Kikwete.
But the president is likely to accept his resignation in light of public anger over the scandal, she says.
This is not Mr Lowassa's first brush with controversy.
Under President Ali Mwinyi, he was relieved of his duties as a land minister because of allegations of corruption - a scandal that reportedly infuriated Julius Nyerere, Tanzania's respected independence leader.
 
Pamoja na kwamba fisadi Lowassa hawezi kuwa Rais wa nchi hii Nakubaliana na wewe nape ni mropokaji na kauli zake zinamponza yeye mwenyewe na chama chake.Kwa mfano kauli zake kwamba CHADEMA ni chama cha wachaga zimemtokea puani baada ya wananchi wa Kilimanjaro kususa mikutano yake na kinana ndiyo maana haweki humu picha kama ilivyokuwa Dodoma na Arusha.

Nape mara Nyingi huonekana kwa Regnal Mengi akajipendekeza sasa kama amewatukana wachaga Ndipo Ujue kuwa ni Mnafki sana, Membe kamjaza pesa hadi kapagawa anaropoka hovyo.
 
Lowasa Anaweza Huyo Nape Anajikanyaga 2 Hana Lolote, Anaempenda Yeye Cc Hatumpend Sasa Anatulazmisha Kukubaliana Na Anachotaka Yey Wap Na Wap

Nape yupo kwa Mganga mda huu anahaikia Mtu wake Membe akubalike Kuliko Lowasa, Yaani ni Shiiiiiiiiiida Nape na Membe hawapati usingizi juu ya Lowasa.
 
Nape na Mzee Unafiki Sita umefika muda na nyie mkaimarishe chama chenu cha CCJ kama alivofanya Zitto. Halafu na ww ungepunguza mahaba niue kwa Mzee Mamvi make naona umeharisha tu humu, sijaona point ya maana hapa.

Membe kamlewesha na mapesa ya marehemu Gadafi hadi kapagawa haijitambui sasa.
 
Nnatumai Nape anao ushahidi wa anayoyasema na kutuhumu watu. Kwamba watu wanaoenda dodoma wamelipwa na nani, kwa njia zipi na kwa sababu gani, la sivyo atakiaibisha chama kwa mara nyengine tena! Wananchi wameamua....acheni uzushi na uongo. Kwa nini mnawadhalilisha wananchi kiasi hiki? Waache kazi zao kwa kulipwa na kupewa chakula? Hivi wote walioonekana huko hawawezi kujinunulia chakula? Tena tunawaingiza mpaka viongozi wetu wa dini; maimamu na wachungaji!

Nnaungana na mtu wa Mungu mmoja aliyemtaka aokoke.....atubu na aokoke!!

rejea tamko la mashekh wa bagamoyo
 
Navyomjua jk hataki kupiga kelele na Lowasa anamsubiri kwenye kanuni dakika za mwisho amtandike hataamini masikio na macho yake.

Jeuri ya kumfanya chochote mamvi hamna nyie kuanzia Mwenyekiti wenu mpaka wote
 
Ninyi wapambe wa Mh.Lowassa mnapoanza kujenga hoja za kuitisha CCM haziwezi kuwasaidia katika harakati zenu.

CCM haikujengwa katika msingi wa kutikisika achilia mbali kutikiswa na mwanachama.

CCM haiopopi kuanguka katika chaguzi, ndiyo maana inaingia katika chaguzi zote nchini.

CCM haiwezi kuwekwa rehani na wanachama achilia mbali mwanachama.

CCM na KANU wapi na wapi achilia mbali siasa za Kenya na Tanzania.

Fanyeni siasa safi ndani ya chama na siyo siasa za kuitisha CCM.

Wewe umelewa posho za safari za nape usithubutu kujidanganya nakuambia maneno haya leo mkateni Lowassa kama kitabaki chama kinaitwa CCM,
 
Mwalimu nyerere alisema huyu lowasa ni Mwizi asipewe nchi.tunafuata wosia wa baba wa taifa.
 
Unaposema kuitisha ccm unaaminisha nini maana wenye mpango wa kumkata jina Lowassa hawazidi saba,so hiyo ndo ccm?
 
me najiulza kwnn Mamvu tu mbona akuna kundi jingine limejitokeza kwenda kwa Wasira, Makamba, Dovutwa, Peter mziray kwnn yeye tu? ina maana hii nchi kla mtu akilala anamuota mamvi tu? kuna namna apo
 
Back
Top Bottom