Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Siasa za Tz ni za Kinafiki sana hao hao ikitokea Lowasa akapitishwa kuwa mgombea Urais utawaona wanajiunga pamoja kumpigia Kampeni na kusahau tofauti zao, wanasiasa wa Tanzania hawaminiki ni vigeu geu sana, Lowasa huwa hana Kinyongo atawasanehe hata vyeo atawapatia kwani anajua kuwa Membe ndiye amewanunua ili wamchafue na pesa za membe wakizimaliza watazinduka tu.

na chama uwa kinasisitiza Mgombea akipatikana basi makundi yavunjwe,ndo msingi wa ilo
 
Ni kweli mkwere anaweza kukuuwa huku anatabasamu lakini cha kujiuliza huyu mzee mamvi hayajui yote hayo? Je hamjui rafikiye? Je haogopi kuenguliwa? Au hiki kibri anakipata wapi maana kapewa onyo lakini hajali what is he up to?

Mwaka 2005 JK naye alionekana na kamati ya maadili ya chama kuwa alikiuka kanuni zao kwa makosa kama hayo ya Lowasa lakini Mkapa alipotezea na baadaye JK akapitishwa katika chama kuwa mgombea. Si sawa kuhalalisha kosa moja kwa kufanya kosa lingine lakini ni ukweli kuwa Lowasa alikuwa kwenye mtandao wa JK na anayoyafanya ndiyo yaliyofanywa na JK. Je JK ataweza kumhukumu kwa kosa ambalo naye alilifanya mwaka 2005 ambalo tunaweza kusema Mkapa alisamehe?!

Ni vizuri pia kumkumbusha Nape kuwa aache kuwa kimbelembele kutoa matamko ambayo baadaye yanaweza kumletea aibu. Kipindi kile cha vua gamba JK alimwachia Nape apige kelele kama vuvuzela lakini hakuna gamba lililotoka zaidi ya Rostam.
 
Leo nimekumbuka "Kawimbo"fulani tulifundishwa shuleni enzi hizooooooooooooooooo za Mwalimu Kanasema hivii....Nilipanda mlimani na Punda Mweupe,nikataka kumpanda Kanipiga teke......Duni,duni ,duni dunia.Maisha Marefu yanakwenda Haraka ,kama mvua ya masika ikiacha matope..........Duni duni Dunia...

Kama wimbo haka hakana tofauti na wale wapigania URAIS,haya tuone nani atampanda Punda MWEUPE,ninauhkika wengine watapigwa teke.................

Jamani siku ni nyingi lakini zinakwenda haraka...tupo karibu kujua nani atampanda PUNDA MWEUPE.............Tusubiri..........
 
Nape...atakuja jutia maisha yake...!!!

Siku EL anaapishwa...Nape atakufa siku si nyingi zijazo..

Nape yeye ni mhuni na msema hovyo..na team Membe...
amekuwa team Membe tokea mwanzo, ila EL anawazidi kila kitu, nasema tena SIKU EL ANAAPISHWA...NAPE ATAKUFA SIKU SIO NYINGI...!!!

Nape anafikiri kwa tumbo lake....atajutia...!!!

Wala hafi tambua kuwa Siasa za Tz ni za Kinafiki sana, huyo Nape yupo after money si kwamba hamkubali Lowasa, Nape anamkubali kiaina Lowasa lakini kaamua kujitoa Fahamu kwa kuchukua Mapesa ya marehemu Gadafi toka kwa Membe na kuamua kumchafua Lowasa makusudi, lakini ujue kuwa siku Lowasa akipitishwa kugombea Urais wote wataludi kwa Lowasa na kuomba Msamaha kisha kumpigia kampeni ndipo utajua siasa za Tz ni za Kinafiki sana.
 
Mwaka 2005 JK naye alionekana na kamati ya maadili ya chama kuwa alikiuka kanuni zao kwa makosa kama hayo ya Lowasa lakini Mkapa alipotezea na baadaye JK akapitishwa katika chama kuwa mgombea. Si sawa kuhalalisha kosa moja kwa kufanya kosa lingine lakini ni ukweli kuwa Lowasa alikuwa kwenye mtandao wa JK na anayoyafanya ndiyo yaliyofanywa na JK. Je JK ataweza kumhukumu kwa kosa ambalo naye alilifanya mwaka 2005 ambalo tunaweza kusema Mkapa alisamehe?!

Ni vizuri pia kumkumbusha Nape kuwa aache kuwa kimbelembele kutoa matamko ambayo baadaye yanaweza kumletea aibu. Kipindi kile cha vua gamba JK alimwachia Nape apige kelele kama vuvuzela lakini hakuna gamba lililotoka zaidi ya Rostam.

Rostam Azizi sasa yupo kwa January makamba kaamua kumpa pesa baada ya Mdogo wake mwanvita kuchepuka sana na Rostam hadi kamkoleza na sasa kaamua kumfurahisha kwa kumpa kaka yake pesa za kusaka njia ya ikulu huku mzee makamba yeye akikomaa na Waganga wa kienyeji na ndumba za kila aina, Kwenye mbio za Urais tutashuhudia vioja vya kila aina.
 
Kinachofurahisha na kutia moyo hata vijana wa BAVICHA kwa sasa wamemsahau babu yao Dkt. Slaa.

Wamefahamu mgombea wa CCM ndiyo atakuwa Rais wa Tanzania.

Kwa sasa habari ya mjini na vijijini ni CCM na wanachama wake.

if you can't lick 'em, join 'em.
 
lowassa yeye anaombwa na wananchi achukue fomu, kosa lake ni lipi?
Kuchukua fomu si tatizo.tatizo hana credit za kuingia ikulu.believe me lowasa ni bogus kichwani hamna kitu awe rais wa nani? Hatuwezi kupeleka kiazi ikulu.
 
Naianza siku hii kuwaamsha walio usingizini, wale ambao wanaamini siasa zao za kuelekea Ikulu ni Kukata jina la Lowassa.
Kwangu binafsi sikuwahi kuhofu hata siku moja Lowassa atakuwa mgombea wa chama kipi, Watanzania wa sasa hawawazi Rais, Mbunge au Diwani ni wa chama kipi , Watanzania wanawaza na kuyafuata aliyonena Mwalimu Nyerere kuwa Wakati wa mabadiliko ukifika watu wata yadai ndani ya CCM na wakiyakosa watayatafuta nje ya CCM.

Nasikitika unavyo tumika kuropoka Ndugu Nape Nauye, Pamoja na kukaa kote katika siasa unashindwa kuzijua nyakati za siasa tulizo nazo ndani ya nchi. Naomba nikufunze jambo wewe na bosi wako Bernard Membe na Wengine kama Mwandosya , Watanzania anzia hapo katika parking ya Vituo vya Tax fika hadi Mnazi mmoja ulizia Rais wanaemtaka ni yupi, Majibu yatakuwa haya "Tunataka Rais atakae Tuvusha hapa tulipo, Rais atakae tuletea Unafuu wa Maisha, Rais atakae radisha Matumaini na Bila Shaka atakae Tuvusha hapa ni Edward Lowassa" .

Nape CCM haina uwezo wa kumkata jina Lowassa , haiwezi na hiki hakiwezekani, acha kuitafuta umaaarufu kupita jina la Lowassa . ushahidi wa mambo unaonyesha zaidi ya asilimia 79% ya wajumbe wa nec ambao wanatakiwa kayakubali majina 5 kutoka CC na kupitisha matatu ni Wafuasi waaminifu wa Lowassa hicho ni kitanzi ambacho CCM Kamwe hakitovuka kama tuu CC ambayo iko vipande vipande kwani kila mmoja anataka kugombea. Sitaki tufikie kwa wajumbe wa mkutano Mkuu.

Lowassa ameibeba Roho ya chama cha Mapinduzi na wapinzani wanajua, Membe katika Group Lako la whatsapp la Friend of Membe ulimkaribisha mgeni tarehe (22 /03/2015) Mh. David kafulila aliwaambia wanacho subiri UKAWA kuchukua Dola ni CCM Kukata jina la lowassa. CCM Ina watu makini ambao si kila mnalotaka kulazimisha watakubali. Mzee Mkapa alisha waambia " tuhuma za kipuuzi zisitukoseshee Mgombea.

Anguko la CCM Kama KANU Kenya lilitokana na mahafidhina kama nyinyi kutaka kuupindisha ukweli, KANU haitorudi Kamwe katika Ramani ya siasa kwa kuwa haya yote waliyafanya Kama wewe Nape na washirika wako wakiwa membe. Matokeo ya serikali za Mitaa kwa kulinganisha Jimbo la Monduli na Majimbo ya wagombea Wengine ni Dhahiri pumzi pekee ya chama cha Mapinduzi ni Edward Lowassa . CCM ilipo fikia ni kuamua mawili, kuendelea kushika Dola kupitia Lowassa au kuwa wapinzani kwa maisha yote yalio bakia.

Nape ufike wakati tuambie wewe, Mgombea wako ni Nani , na je hasa unachotaka kwa Lowassa ni nini, sababu CCM nzima imesimama na Lowassa ila wewe na wenzako wanao kutumia mnawababaisha Watanzania. Tuelezeni Watanzania kuwa mmeazimia kui au CCM, muwe wawazi kwani hatutaki unafki.

Kwa Taarifa yenu ishara ya mabadiliko inabebwa na vijana wa 4u movement ambayo kwa Mara ya kwanza Tanzania vijana kutoka vyama tofauti na walio na vyama wameanza Safari ya matumaini ya kuidai Tanzania Yao , wapo zaidi ya million Moja na sana kuwa kwa kasi wapo kila kata, hii ni ishara ya Anguko kwa CCM kama tu itafuta Maneno ya kina Nape na wenzake.

Na John Okello.
 
Nnatumai Nape anao ushahidi wa anayoyasema na kutuhumu watu. Kwamba watu wanaoenda dodoma wamelipwa na nani, kwa njia zipi na kwa sababu gani, la sivyo atakiaibisha chama kwa mara nyengine tena! Wananchi wameamua....acheni uzushi na uongo. Kwa nini mnawadhalilisha wananchi kiasi hiki? Waache kazi zao kwa kulipwa na kupewa chakula? Hivi wote walioonekana huko hawawezi kujinunulia chakula? Tena tunawaingiza mpaka viongozi wetu wa dini; maimamu na wachungaji!

Nnaungana na mtu wa Mungu mmoja aliyemtaka aokoke.....atubu na aokoke!!

Una pepo...si bure
 
Mwaka 2005 JK naye alionekana na kamati ya maadili ya chama kuwa alikiuka kanuni zao kwa makosa kama hayo ya Lowasa lakini Mkapa alipotezea na baadaye JK akapitishwa katika chama kuwa mgombea. Si sawa kuhalalisha kosa moja kwa kufanya kosa lingine lakini ni ukweli kuwa Lowasa alikuwa kwenye mtandao wa JK na anayoyafanya ndiyo yaliyofanywa na JK. Je JK ataweza kumhukumu kwa kosa ambalo naye alilifanya mwaka 2005 ambalo tunaweza kusema Mkapa alisamehe?!

Ni vizuri pia kumkumbusha Nape kuwa aache kuwa kimbelembele kutoa matamko ambayo baadaye yanaweza kumletea aibu. Kipindi kile cha vua gamba JK alimwachia Nape apige kelele kama vuvuzela lakini hakuna gamba lililotoka zaidi ya Rostam.
Na ni Nape huyo huyo 2005 alijiapiza Kikwete akiwa Rais atahama Nchi,leo hii hadi kafutuka tumbo akiimba Nyimbo za kumtukuza Kikwete,kijana ana njaa balaa,anaweza fanya lolote ili mradi mkono uende kinywani
 
Kwa vile haiwezekani kuwa na serikali bila chama cha siasa, je CCM ikianguka, chama kipi kitainuka?
 
Naianza siku hii kuwaamsha walio usingizini, wale ambao wanaamini siasa zao za kuelekea Ikulu ni Kukata jina la Lowassa.
Kwangu binafsi sikuwahi kuhofu hata siku moja Lowassa atakuwa mgombea wa chama kipi, Watanzania wa sasa hawawazi Rais, Mbunge au Diwani ni wa chama kipi , Watanzania wanawaza na kuyafuata aliyonena Mwalimu Nyerere kuwa Wakati wa mabadiliko ukifika watu wata yadai ndani ya CCM na wakiyakosa watayatafuta nje ya CCM.

Nasikitika unavyo tumika kuropoka Ndugu Nape Nauye, Pamoja na kukaa kote katika siasa unashindwa kuzijua nyakati za siasa tulizo nazo ndani ya nchi. Naomba nikufunze jambo wewe na bosi wako Bernard Membe na Wengine kama Mwandosya , Watanzania anzia hapo katika parking ya Vituo vya Tax fika hadi Mnazi mmoja ulizia Rais wanaemtaka ni yupi, Majibu yatakuwa haya "Tunataka Rais atakae Tuvusha hapa tulipo, Rais atakae tuletea Unafuu wa Maisha, Rais atakae radisha Matumaini na Bila Shaka atakae Tuvusha hapa ni Edward Lowassa" .

Nape CCM haina uwezo wa kumkata jina Lowassa , haiwezi na hiki hakiwezekani, acha kuitafuta umaaarufu kupita jina la Lowassa . ushahidi wa mambo unaonyesha zaidi ya asilimia 79% ya wajumbe wa nec ambao wanatakiwa kayakubali majina 5 kutoka CC na kupitisha matatu ni Wafuasi waaminifu wa Lowassa hicho ni kitanzi ambacho CCM Kamwe hakitovuka kama tuu CC ambayo iko vipande vipande kwani kila mmoja anataka kugombea. Sitaki tufikie kwa wajumbe wa mkutano Mkuu.

Lowassa ameibeba Roho ya chama cha Mapinduzi na wapinzani wanajua, Membe katika Group Lako la whatsapp la Friend of Membe ulimkaribisha mgeni tarehe (22 /03/2015) Mh. David kafulila aliwaambia wanacho subiri UKAWA kuchukua Dola ni CCM Kukata jina la lowassa. CCM Ina watu makini ambao si kila mnalotaka kulazimisha watakubali. Mzee Mkapa alisha waambia " tuhuma za kipuuzi zisitukoseshee Mgombea.

Anguko la CCM Kama KANU Kenya lilitokana na mahafidhina kama nyinyi kutaka kuupindisha ukweli, KANU haitorudi Kamwe katika Ramani ya siasa kwa kuwa haya yote waliyafanya Kama wewe Nape na washirika wako wakiwa membe. Matokeo ya serikali za Mitaa kwa kulinganisha Jimbo la Monduli na Majimbo ya wagombea Wengine ni Dhahiri pumzi pekee ya chama cha Mapinduzi ni Edward Lowassa . CCM ilipo fikia ni kuamua mawili, kuendelea kushika Dola kupitia Lowassa au kuwa wapinzani kwa maisha yote yalio bakia.

Nape ufike wakati tuambie wewe, Mgombea wako ni Nani , na je hasa unachotaka kwa Lowassa ni nini, sababu CCM nzima imesimama na Lowassa ila wewe na wenzako wanao kutumia mnawababaisha Watanzania. Tuelezeni Watanzania kuwa mmeazimia kui au CCM, muwe wawazi kwani hatutaki unafki.

Kwa Taarifa yenu ishara ya mabadiliko inabebwa na vijana wa 4u movement ambayo kwa Mara ya kwanza Tanzania vijana kutoka vyama tofauti na walio na vyama wameanza Safari ya matumaini ya kuidai Tanzania Yao , wapo zaidi ya million Moja na sana kuwa kwa kasi wapo kila kata, hii ni ishara ya Anguko kwa CCM kama tu itafuta Maneno ya kina Nape na wenzake.

Na John Okello.

Nakushukuru ndugu John Okello kwa mtazamo na tathmini ila mi nasema tusubiri tuone jinsi patavyochimbika hata kama pana zege litavyokatwa jina la lowassa.
 
Back
Top Bottom