Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nadhani yale mazuri ya CCJ atayaenzi katika nafasi yake ndani ya CCM.....................! Namkaribisha jimboni kwangu! (lol)
 
Tunamsubiria Arusha, hili lidogo lina kimbelembele sana.
Ajue ccm moshi ni chama cha upinzani, na Arusha vile vile. kwa hiyo tuseme ndiyo operation magamba imeanza siyo!
 
kama haka ka umeme ka Ngeleje katukuwepo nitawaarifu yote yatakayotokea hata picha ikibidi nitajitahidi
 
Anawakera sana baadhi ya watu ndio mana hawampingi kwa hoja bali ni mayusi na kejeli. Msimpinge kwa ushabiki bali pingeni hoja zake kwa hoja, hiyo ndio tabia ya watu makini.
 
Unamzungumzi Nape yule ADUI NAMBA MOJA WA WACHAGA? Haya aje Moshi mjini tunamsubiri
 
Jibwa lisilojua adui na rafiki ni nani, kubweka tuuu! kama mdau ulivyosema anataka kufufua maiti. Ila sio maiti yote ifufuke bali ni upande mmoja tu wa maiti. sijui ni kujenga au ndo unaua kabisa. Mi akili za hawa jamaa jinsi walivyopeana vyeo hata sielewi malengo yao ni nini ila nafikiri ni mkakati mahsusi wa kuiingiza CDM maDARAKANI INAWEZEKANA WAMEIKUBALI ILA NJIA TU YA KUWAPISHA IMEBIDI IWE HIYO.
 
Hiyo ndio kiboko ya magwanda kwa sasa! kingine ni Shibuda!
 
Hiyo ndio kiboko ya magwanda kwa sasa! kingine ni Shibuda!

kwanini unashindwa kushirikisha ubongo wako kufikiri vizuri? itafika mahali utasema Anne Kilango ni kiboko ya Magamba
 
Walizoea huku kwetu kg kuwabeba watu na mabasi ya ujiji sasa huko uchagani atambeba nani maana sijafika ila nackia wote mko fresh
 
ccm, cuf, tlp wote wana haki ya kueneza sera nchi nzima ninaomba vijana wa cdm arusha wasijihusishe kwenye vurugu yoyote na wakaazi wa huko wahiari wenyewe kwenda ama kubaki majumbaniwe know who rules in arusha!
huyu anaongea kama either mbowe au dk. Slaa
 
teeeh,teeeh mbona watu wanakimbilia bongo kama Arusha,Moshi pako fresh?.Asikudanganye mtu hakuna fresh Tanzania labda majengo.
 
Back
Top Bottom