OK,kama mnalijua hilo mbona mnawaandama kila kukicha?
kama bavicha yupo kijana mwenye uwezo wakusimama na kubishana na mzee mwenye chama MTEI jaribuni. NAPE NA MAKONDA wanakisema kile watanzania wengi wanakitaka huwezi mchekea fisadi LOWASSA
Ina maana uongozi wa ccm na bunge ni dhaifu kiasi kwamba walishindwa kumfukuza huyo fisadi ndani ya chama?au huo ufisadi ameufanya leo?
Matatizo ya wana-ccm yatatuliwe na wana-ccm wenyewe. Alichofanya Kingunge ni u-toto, kijifanya haelewi taratibu cha chama ambapo kwa miaka yake yote katika chama aliishi hivyo. Alichofanya ni kupeleka malalamiko kwa wana-ukawa na wengine ambao hawatamsaidia kwa lolote. Hongera sana nape, jibu lako ni sahihi, afanye atakacho. Yeye si hatima ya ccm. Najua wana-ukawa wa kingunge mtazodoa na hili.
Hapa topic ni Nape na Kingunge. Hayo yako ya Makonda, Mtei na Lowassa ukitaka yaanzishie topic yake.
Bavicha hamueleweki ni vigeugeu.
Wasingeweza kumpitisha Lowassa halafu kipindi kizima cha kampeni iwe kazi ya kumsafisha. CHADEMA mchukueni Lowassa, muisaidie CCM kumsafisha. akisafishika mmeliwa, watamrejesha kundini.
Nape waheshimu wazee wako.
Wote wawili kama limbukeni hivi,
Pia character zao hazina tofauti sana na bingwa wa safari.
Kama inakuuma saga chuma unywe ili kuonyesha machungu yako
wakati wake wakukatwa umefika watu wamemkata ili ufisadi eake akaufanyie huko anakoenda kwa mbowe mpiga dili
haiyumi chochote nyinyi cdm na ccm nisawatu wote lenu moja
Anzeni kuaga na kukusanya mahirizi yenu toka magogoni,maana baada ya october mnatakiwa kutupisha
Taratibu zipi hizo ambazo Kingunge hazijui au unadhani Kingunge ni mgeni wa CCM?kama taratibu hazikuzingatiwa kumpata Mtu muhimu kwenye chama na Nchi unadhani ndio zitafuatwa kumsikiliza Mzee Kingunge?
Mbavu zangu jamaniiiiitijara ya magufuri