The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,703
- 18,393
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
apo kwenye RED mm ungejifunza kutulia wakati unaandika
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Kwani Mwandosya ni nani kwake?
..........Mawazo yako ni mazuri ila kama ya kitoto vile; kama kila mwenye mawazo pinganifu ahame chama, hili ni wazo duni kabisa!!!!!!!!!Hakuna mpasuko. Si mara moja au mbili kumekuwa na mawazo pinganifu na hatukusema mpasuko. Lowassa na Kingunge ni wanachama tu kama wengine if hawajaridhika wanaweza kuhamia vyama vingine au kuanzisha chao
naona sasa hivi lowassa na kingunge ni kama lulu kwa UKAWA, mwaka huu mtajibeba, Huku lumumba ni mbele kwa mbele. mnashindwa kuongelea mambo ya viongozi wenu wachumia tumbo UKAWA mnakesha na CCM, subiri aibu ya karne october 2015.Nidhamu ya nape na makonda hazina tofauti
Nape hana adabu kwa wazee. Hata kama kingunge kakosea sio kuonyesha dharau hivyo.
Wapi MUSSA ALLAN?
Nape Nnauye anatabia mbovu kama Paul Makonda
CCM hawafai ninani anafaa kukabiziwa hii nchi? hawa waliomwambia lowasa fisadi pale mwembe yanga na leo wanamwona siyo fisadi tena? baada ya kuona pombe atawachakaza?
napata shida sana kuamini kama kweli kuna viongozi wenye kulilia taifa hili masikini apate haki yake sawa na tajiri.atibiwe sawa na tajiri.