kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ipo
Nape ni shiiiiiiiiiiiida.... Sasa kahamia Ukawa yupo busy kubuni mbinu za kuwakoroga wavurugane hadi Ukawa ivunjike kafanikiwa kumnasa Lipumba tayari amepokea pesa, yupo mbioni kumvaa Mbatia lile Goli la mkono lazima litafutiwe njia nyepesi za kupenya zaidi .
Hivi umri wa mwisho kuitwa kijana ni miaka mingapi?
Maana naona hadi Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!
jamani taratibu na jazba mpaka mnasahau kuwa kanu ni chama cha siasa kenya siyo tanzania...!!!!mzee kingunge ametoa dukuduku lake moyoni hakutaka kuwa mnafiki kaanika mbinu zote chafu, na ukiwikaji wa tarabibu na uchakachuaji ulivyokwenda , huo ndiyo uhuru wa kutoa mawazo , sasa wapo wabishi baadhi wamejitoa fahamu na kuamua kumkejeli maksudi ! Ni vyema ccm wangetumia haya mapungufu kama somo la kujifunza badala ya kumwandama kingunge kwanza. Nape sasa yupo kwa magufuli kinafiki baada ya chaguo lake membe kuangukia pua yupo busy akijipenyeza kwa magufuli akiombea ashinde ili angalau membe apate uwaziri tena maisha yaendelee, nape yupo kwa magufuli usoni lakini rohoni yupo kwa membe na january makamba .
Nape ni shiiiiiiiiiiiida.... Sasa kahamia Ukawa yupo busy kubuni mbinu za kuwakoroga wavurugane hadi Ukawa ivunjike kafanikiwa kumnasa Lipumba tayari amepokea pesa, yupo mbioni kumvaa Mbatia lile Goli la mkono lazima litafutiwe njia nyepesi za kupenya zaidi .
Siku hizi UJANA ni deal. Na kwa kujuwa hilo, inatumika kimaslahi binafsi na watu mbali mbali, wanavotaka! Usishangae mtu wa sixty kuitwa a young boy!
Acha watu waitwe vijana hadi miaka 70 lakini nature itawa aggregate tu au hata tembea yao utajua no longer
CCM ujana ni kuanzia 56 kwahiyo lemutuz nae kijana
Kwa mawazo yangu huyu mzee akubali mabadiliko na kuachia vijana wa CCM waendeshe nchi.
kwahio chama kijana ndo kitakuja na jipya wakati viongozi wake ni hao akina Slaa na Mbowe waliogeuza chama kijana SACCOS ya kaskazini si wakipewa nchi wataifanya SACCOS yao pia?.
naomba kuuliza baada ya uchaguzi mkuu nini mustakabali wa nape na makonda...watakuwa wabunge, watapandishwa vyeo chamani au ndo kama akima Matteo karesi na mashishanga
na wengine akina Lowassa na Slaa
Kama hata prof kanunuliwa kama ulivyodai basi huyu raia anayeitwa Nape si wa kawaida, hivi kweli watu wanapewa kias gan mpaka wakubali?