Kuna mabadiliko CCM mgombea wao Magufuli ana miaka 56 ambaye yeye na vijana wengine ni kizazi kipya cha CCM tofauti na Kingunge, Mkapa, Kikwete, Lowassa na hata Membe wote wapo kwenye miaka ya 60 na kuendelea.
Washangiliaji tupo
[/QUOTE]Fahamu kwamba CCM ni chama kikubwa. Pia elewa kuwa chama si Lowassa wala Kingunge.Hata wakitoka ndani ya chama hawana athari yeyote kwanza hao ni wezi tu. Mzee Kingunge analopoka tu sasa pesa alizopewa na Lowassa zinamsumbua. CCM itaendelea kuwepo daima.
Hivi umri wa mwisho kuitwa kijana ni miaka mingapi?
Maana naona hadi Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!
nape na magufuli ni hali moja
Huyu babu kingunge angekuwa Wa maana asingejihusisha kwenye siasa chafu za makundi ktk umri ule. Wanasema uzee ni hazina ila Wa kingunge ni debetupu.
Haki ikikosekana vita na machafuko utokea.Makoleo ni mgombea wa mfukoni so maccm lazima yauane.Pombe hafai mkurupukaji Piga Mbizi ukishindwa[/QUOTE
Kweli hafai kabisa huyo pombe
Maslahi yatamfanya afe macho wazi ashindwe kuzikwa kwa heshima buree
Nape shut up...
Kingunge ni mzee wa heshima na mwanzilishi wa KANU, hadi CCM, anajua haki, taratibu na kanuni za CCM kuliko ww mtoto mdogo unanuka maziwa...
Uwe na adabu, Nape hana adabu kabisa, na anatumika vibaya, na wananchi wanamchukia sana, alafu ndio anategemewa na CCM apige kampeni... CCM itaambulia mabua mwaka huu... kifo kiko wazi
Hivi umri wa mwisho kuitwa kijana ni miaka mingapi?
Maana naona hadi Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!
na wengine akina Lowassa na Slaa