NAPE: Kikao kijacho CCM kuja na maamuzi mazito

Hivi ni lazima aje abwabwaje kwenye media??

we need actions not vuvuzela
 
Nape na Jopo lake hana ubavu na hawata thubutu zaidi ya kuwasafisha wabaya wao ndo kazi atayo ifanya tena kwa kinywa chake hiyo ndo maana ya Maamuzi mazito yatayo mshangaza kila mtu!
 
Sasa hivi kibao kimebadilika, Nape kasema magamba si mafisadi bali wanaokiuta maadili ya chama. Goodbye Mr Six.

Mbona anazidi kuanua wigo zaidi wa kujivua gamba, maana akizungumzia maadili inabidi CCM zima ijuvue Gamba! Hawa jamaa they have completely lost it! Ha ha haa
 
Maamuz magumu ni 1.kufukuza watuhumiwa wote wa ufisadi 2.kutenganisha kofia ya mwenyekiti wa chama na uraisi 3.kutenganisha kati za uongozi na biashara hayo ndiyo maamuzi magumu inje ya hapo ni maamuzi rahisi tu na kwa kufanya hayo ccm itaonekana na sura tofauti na mvuto tofauti sana.shida ya huyo bro story kibao.
 
CCM karibu wote wametoa au kupokea rushwa, sasa atakaya baki mimi simjui. Wala hakuna wakati mgumu. Ni kuvunja chama na kukianza upya. Hakuna hata maadili ya kureference. Hatabaki mtu!
 
Hii tumezoea kusikia, angetuambia ni lini chama hicho kilishafanya maamuzi magumu baada ya Mzee nyerere kuondoka???
 
huyu nape kama hata kwa mkewe ndo anaongea ongea namna hii basi huyo mkewe kazi anayo
 
hivi alishamalizana na issue za ndoa. Nadhani atatulia sasa manake kuo ni utu uzima!
 
Kama wameshindwa kuwafukuza madiwani wa CCM Songea walimpigia kura za HAPANA
"mstahiki meya" mwenzao wa CCM, kweli wataweza kuawafukuza akina EL na Mzee
wa vijisenti?

Kumbuka kule Songea badala ya kuona hawana ubavu wa kuwafukuza madiwani waliomkata
mgombea umeya wa CCM, Nchimbi kwa kushirikiana na mkurugenzi wakaiba box la kura na
kuchakachua matokeo kura za HAPANA 14 zikageuzwa NDIYO na Kura halali 12 za NDIYO zikageuzwa
kuwa HAPANA. Sasa unaniambia hawa CCM wana ubavu wa kumvua EL na AC magamba.

Ubavu huo alikuwa nao Nyerere tu. Muulizeni Mh. Abood Jumbe Mwinyi
 
eti nepi nae ameanza kuvaa kikuku cha mkono!!!!!!!! mi nasubili akianza kuvaa kikuku cha mguu tu! aaaaaaa lazima nimuombee............
 
Back
Top Bottom