Nape katangaza kuacha siasa uchwara

Nape katangaza kuacha siasa uchwara

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
3,831
Reaction score
637
Siasa mimi basi,Aamua kuwa mwana muziki

View attachment 48980

View attachment 48982

Kija akimwangalia kwa makini Nape akipiga gitaa la Bass!.jpg

View attachment 48984
 
Hii itamfaa sana +carolite,vicheni,hereni nk the real upcoming new mr nice
 
Hizi ni kampeni za Asha Baraka kuingia mjengoni.....ameamua kutumia mbinu mbadala baada ya shule kumkwamisha
 
Mimi namshauri aanzishe kampuni ya kufua nepi za watoto.
 
Back
Top Bottom