baadhi ya majibu ya Nape ni
<LI class="uiUfiComment comment_3173334 ufiItem ufiItem">
Joseph Pongu hasan sipendi kuanzisha mjadala na ww kwa sbbu uwezo wako wa kuffikiri si sawa na wakwangu,haiitajiki literature kuvijua hv,but upo hapa sio kusema ukweli bali kusifu kila kitu,kcare boy 4 hours ago via
Facebook Mobile · LikeUnlike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3173373 ufiItem ufiItem">
Edess Kansapa Hawa jamaa ni kama Mahndra kwan hawana hoja za maana kujenga nch kaz kucf na hate ubongo wa namna hii na kudhihrisha udhaifu anafkr anakisaidia chama kumbe matope la zaid hawa ndo wanaichafua ccm ya mwl Nyerere sema hoja utuconvince hlf cjaiona umuhmu wa kujadliana ubora wa vyuo kama tumedhamilia kuibadl ccm tutoe hoja co kama kna hassan & mohamed wamefliska sera hapa hatuko gengen 4 hours ago via
Facebook Mobile · LikeUnlike ·
2 peopleLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3173375 ufiItem ufiItem">
Asha Rajabu mimi nasema kwamba udom is a public university in its external view kule ndani usiseme......km si follower wa CCM lazma udisco na pili kwa staffs km si follower wa CCM LAZMA PAELEWEKE HUKO NDANI NA HASA PALE UNAPOKUWA HATA KADI HUNA... 4 hours ago · LikeUnlike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3173383 ufiItem ufiItem">
Slobodan Milossevich Jr. Hivi wewe Nape umeandika ili iweje? Nini maelngo yako hapa?.Siku zimebaki 34 kufikia 90 we piga domo tu kama makamba! 4 hours ago via
Facebook Mobile · LikeUnlike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3173408 ufiItem ufiItem">
Asha Rajabu km anataka awe succesful ajtatd asiew km makamba ila akipandwa mzimu wa makamba kwisha habari yako...orgise ideas kaka before you articulate words 4 hours ago · LikeUnlike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3173414 ufiItem ufiItem">
Hemed Suya Mi ningewaona ccm wanaume pamoja na wewe nape ningekuona mwanaume kama harakati hizi ungekuwa unazifanyia hapa udsm sehemu ambayo hata mwenyekiti wako anapaogopa tangu awe raisi hajawahi kuja na kamwe hatakaa aje mpaka amalize uongozi wake,... na hii inasababishwa na woga wa kujibu hoja nzito zenye changamoto nyingi za udsm!KIMBILIENI HUKO HUKO UDOM NA WAO WAKO MBIONI KUAMKA NA MUDA SI MREFU WATAKUPIGENI MAWE WAWAFUKUZE.
See More
4 hours ago · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3173417 ufiItem ufiItem">
Slobodan Milossevich Jr. Hv jamani huyu jamaa anaendelea na masomo huko Mwanza au anasubiria siku ya siku isomeke tu kuwa kavalishwa Joho na wenzake wanaopambana kila siku na Research? 4 hours ago via
Facebook Mobile · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3173447 ufiItem ufiItem">
Bernard Kazimoto Dickson Hawa wanaoongelea siku 90 kila siku walitaka Nape asifanye kazi zingine zaidi ya siku 90? kwanini wasisubiri? Tujadili mambo yanayohusu taifa 4 hours ago via
Facebook Mobile · LikeUnlike