Nape JF sio sawa na Facebook

Kama ni mwenye kujifunza tayari atajifunza sana tu

ni wengi sana hawajui hasa matumizi ya facebook......na facebook ndo hackers wengi wantumia kuiba info za watu lakini hata CIA na FBI wanaitumia hii ili kuwapata watuhumiwa wao lakini pia hata kama wanataka kujua juu ya mtu flani facebook ndo ya kwanza then huko watatumia watu walio karibu na huyo mtu na baada ya hapo kil kitu kinakuwa nje..........
 
Jamani mwacheni huyo OMR, mtashindwa kujadili hoja za msingi na kuanza kumjibu yeye, just ignore her.
 
Hakuna hoja hapa, wewe na ka barua njaa kako ni dalili wazi za kutumwa na Mbulushi, hivi wewe utamshauri nini Nape? Eti producer, mi nakushauri ubadili jina na ujiite muimba taarab.
Kama Mbunge wenu Komba?
Naona una :mimba: ya boss wako wewe!!
 
Nape anatumiwa na mafisadi, baadae wanam-dump kama makatibu waliopita- bora angebaki ccj
 
Nape chukua points hizi kama dira na mwongozo ktk shughuli zako za kisiasa. Kamwe usimchukulie mwandishi wa kama adui yako. Huyu ndiye rafiki wa kweli. Ameweza fanya tathmin kama mwanajamii akagundua baadhi ya madhaifu yako na kuyatolea ushauri. Ingawa ktk ushauri wapo ambao wameusawazisha zaid wote wakiwa na lengo la wewe kunyookewa na mambo yako..naamini miongon mwayo yamesababishwa na jamii yako ya karibu uliyokuwa nayo kabla...muungwana na mzalendo wa kweli ni yule anayezibeba challenge zinazomface ili ziwe chachu ya kumuonyesha njia kule anakoelekea.. Remember, to run away frm the problem z not a proper way of solving them, sit down an make a deeply THINK!! BIG UP Producer na wale mlochangia hili.
 
Hivi kwanini Makamba alipewa Ukatibu mkuu CCM?
Hivi kwanini Sitta Alinyimwa nafasi ya UspikaThis Time round?
Hivi kwanini Nape Kabadilika sana?

Kama ukijibu haya maswali Kiufasaha, Nitakwambia ni kwanini hata Akitokea Mtu aliyefanana Kitabia na Obama Au Koffi annan, Akipewa madaraka CCM atabadilika kama Alivyofanya Nape.
 
atufuate tutamshauri kuhusu information technology, usage and privacy - unapoandika kitu kwenye mtandao basi ujue mtu yoyote duniani anaweza ku-access so long ana internet.

hata mimi nilishangaa wakati jamaa anapost kwenye facebook - duh hata viongozi wenzake wa CCM wakiona hizo post watajisikiaje?

aige mifano ya vijana wenzake kama akina Zitto, Mnyika aone njisi wanavyotumia mtandao.

Kwa mfano wengi tuliokuwa hatukujui kwa ukaribu tulifikiri kijana ni jembe lakini duh......
 
atufuate tutamshauri kuhusu information technology, usage and privacy - unapoandika kitu kwenye mtandao basi ujue mtu yoyote duniani anaweza ku-access so long ana internet.

hata mimi nilishangaa wakati jamaa anapost kwenye facebook - duh hata viongozi wenzake wa CCM wakiona hizo post watajisikiaje?

aige mifano ya vijana wenzake kama akina Zitto, Mnyika aone njisi wanavyotumia mtandao.
sasa wewe unamshauri aige wazururaji? haya ngoja tusikie na ushauri wa wasomi wengine wa CDM
 
Hivi kwanini Makamba alipewa Ukatibu mkuu CCM?
Hivi kwanini Sitta Alinyimwa nafasi ya UspikaThis Time round?
Hivi kwanini Nape Kabadilika sana?

Kama ukijibu haya maswali Kiufasaha, Nitakwambia ni kwanini hata Akitokea Mtu aliyefanana Kitabia na Obama Au Koffi annan, Akipewa madaraka CCM atabadilika kama Alivyofanya Nape.

anapata sapoti na kuvimbishwa kichwa toka juu maana hapa naona moja ya sms zake anazopokea inasema..''kazi nzuri umefanya singida, ushindi lazima upatikane fanya kazi bila uoga...safi sana''..........
 
Nape chukua points hizi kama dira na mwongozo ktk shughuli zako za kisiasa. Kamwe usimchukulie mwandishi wa kama adui yako. Huyu ndiye rafiki wa kweli. Ameweza fanya tathmin kama mwanajamii akagundua baadhi ya madhaifu yako na kuyatolea ushauri. Ingawa ktk ushauri wapo ambao wameusawazisha zaid wote wakiwa na lengo la wewe kunyookewa na mambo yako..naamini miongon mwayo yamesababishwa na jamii yako ya karibu uliyokuwa nayo kabla...muungwana na mzalendo wa kweli ni yule anayezibeba challenge zinazomface ili ziwe chachu ya kumuonyesha njia kule anakoelekea.. Remember, to run away frm the problem z not a proper way of solving them, sit down an make a deeply THINK!! BIG UP Producer na wale mlochangia hili.
Mkuu tatizo wanadhani tunapowapa ushauri sisi nitofauti na ccm, wengi wetu humu ni wale tunaotaka maendeleo ya nchi yetu ufike mda tukajivunia kuwa sisi ni WATANZANIA, mimi naipenda sana nchi yangu ila kwa yanayotokea nchini SIYAPENDI, NAPENDA TANZANIA IWE NA MIPANGO DHABITI YA KUTOKA KWENYE HUU UMASIKINI, nchi hii mpaka leo umeme ni tatizo maji safi na makazi ya watu hakuna, na watu wanazidi kujaa mijini tuu, Nililitegemea mtu kama NAPE aweze kuongelea mambo hayo! Mbona makamba jr huwa tunamuunga mkono baadhi ya mambo yake ( ingawa sometimes anakuwa kama baba yake) Nape tulikuunga mkono uliposema mafisadi watoke ndani ya ccm na siku Tisini tunazisubili, Ulitakiwa pia uongee ulipofikia achapumba kijana! ( mimi nimwanachama wa ccm lakini ile ya Nyerere na si hii ya MAGAMBA)
 
sasa wewe unamshauri aige wazururaji? haya ngoja tusikie na ushauri wa wasomi wengine wa CDM
Ukitaka kutuita wasomi wa CDM tutakuwa kweli wasomi wachadema kwani hapa kuna mtu kasema yeye yupo chama gani mjinga wewe!
 
Mkuu tatizo wanadhani tunapowapa ushauri sisi nitofauti na ccm, wengi wetu humu ni wale tunaotaka maendeleo ya nchi yetu ufike mda tukajivunia kuwa sisi ni WATANZANIA, mimi naipenda sana nchi yangu ila kwa yanayotokea nchini SIYAPENDI, NAPENDA TANZANIA IWE NA MIPANGO DHABITI YA KUTOKA KWENYE HUU UMASIKINI, nchi hii mpaka leo umeme ni tatizo maji safi na makazi ya watu hakuna, na watu wanazidi kujaa mijini tuu, Nililitegemea mtu kama NAPE aweze kuongelea mambo hayo! Mbona makamba jr huwa tunamuunga mkono baadhi ya mambo yake ( ingawa sometimes anakuwa kama baba yake) Nape tulikuunga mkono uliposema mafisadi watoke ndani ya ccm na siku Tisini tunazisubili, Ulitakiwa pia uongee ulipofikia achapumba kijana! ( mimi nimwanachama wa ccm lakini ile ya Nyerere na si hii ya MAGAMBA)

Nape hautaona ushauri wa bure kama huu! kama uliingia darasa linafundisha communication leio usiku hulali, kichwa kitakuwa kinachambua A-Z!
 
Kumjadili Nape mnapoteza muda wenu wakuu ni bora hata msiandike lolote . CCM ndiyo mwisho wake .Nape ni kilaza kama walivyo vilaza wengi ndani ya CCM na mchumia tumbo hana uchungu na Nchi wala hajui nini asema akiwa Jukwaani .Yeye ni kuropoka tu
 
anapata sapoti na kuvimbishwa kichwa toka juu maana hapa naona moja ya sms zake anazopokea inasema..''kazi nzuri umefanya singida, ushindi lazima upatikane fanya kazi bila uoga...safi sana''..........

Mkuu aisee wewe ni noma ee! nitakuPM unipe mauchawi hayo na mimi!
 
Kumjadili Nape mnapoteza muda wenu wakuu ni bora hata msiandike lolote . CCM ndiyo mwisho wake .Nape ni kilaza kama walivyo vilaza wengi ndani ya CCM na mchumia tumbo hana uchungu na Nchi wala hajui nini asema akiwa Jukwaani .Yeye ni kuropoka tu

Kweli mkuu wacha tumsaidie kama ataona umuhimu kuingia na kusoma hapa basi anaweza kujifunza kwa faida yake na watoto wake
 
sasa wewe unamshauri aige wazururaji? haya ngoja tusikie na ushauri wa wasomi wengine wa CDM

Una kazi mtumishi wa Nape, cha ajabu unaharibu mashauri ambayo mwenzio anapewa ungesubiri aje mwenye nayo ajifunze!
 
Back
Top Bottom