Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

Waheshimiwa

Baada ya kuona hii video ya Bwana Nape Nnauye akishangiliwa na wananchi kama shujaa leo huko uwanja wa Taifa na watu wakigombaniana kumpa mkono kama celebrity wa Hollywood nime conclude kwamba:

Until last week Nape Nnauye was a leader BUT now he is Larger Than Life Celebrity Leader. The young man is going to have a very long and prosperous political career. Mark my words!
Alishangiliwa kuliko alivokuwa akishangiliwa Lowasa...!!?????
 
Ndo maana CCM itatawala kwa muda mrefu sana.

Na karibu nahitimisha kuwa Tanzania hakuna vyama vya upinzani vya kisiasa.

Hao wapinzani karibu wote ni CCM bila hata wao kujijua.
Kwa hiyo unataka leo wapinzani wamtukane Nape kwasababu aliratibu goli la mkono?
 
Leo Nape anaonekana shujaa! hahaha hakika Tanzania inastahili kuwepo kwenye sayari ya peke yake kabisa kwa vimbwanga kama hivi.
Hivi mwafahamu wapo fighters walimwaga damu lakini hata historia haiwakumbuki, mashujaa walipigania taifa kama vita ya majimaji kule Songea nk.
Shujaa huyu wa leo anatoka wapi, you must be kidding.
 
Leo Nape anaonekana shujaa! hahaha hakika Tanzania inastahili kuwepo kwenye sayari ya peke yake kabisa kwa vimbwanga kama hivi.
Hivi mwafahamu wapo fighters walimwaga damu lakini hata historia haiwakumbuki, mashujaa walipigania taifa kama vita ya majimaji kule Songea nk.
Shujaa huyu wa leo anatoka wapi, you must be kidding.
we usitulete historia zako za zamani hao mashujaa sisi hatukuwai kuwaona si tuna deal na kuwashangilia tunao waona
 
Ndo maana CCM itatawala kwa muda mrefu sana.

Na karibu nahitimisha kuwa Tanzania hakuna vyama vya upinzani vya kisiasa.

Hao wapinzani karibu wote ni CCM bila hata wao kujijua.
lkn kumbuka neno la Mwl.alisema upinzani wa kweli unatoka wapi?
Acha wivu
Na mimi nilikuwepo kelele zilikuwa za kutosha
Kwani wewe inakuuma nini jamaa akishangiliwa?
Acha uongo pia jombaa
 
"Hata magazeti ya leo yana picha ya mtu mmoja ambaye amefanya kosa moja, utadhani kosa ni linaungwa mkono na serikali"- Rais Magufuli

Oh! Kumbe kuna makosa ambayo Serikali inayaunga mkono na mengine haiyaungi mkono!? Ni makosa yepi ambayo Serikali inayaunga mkono na yepi ambayo haiyaungi mkono? La Bashite la kufoji vyeti na kufanya ujambazi kwa kuvamia Clouds FM Serikali inayaunga mkono, la Kamanda Lema kuota ndoto na kuisema hadharani hili Serikali haliungi mkono. Nape kusimamia sheria za nchi pale zilipokiukwa hili nalo Serikali haiungi mkono! Sijui kama huku si kupindisha sheria za nchi sijui ni kitu gani tena!

Sheria za nchi ni msumemo zinatakiwa zikate pande zote bila upendeleo wa aina yoyote ile. Kukiwepo na upendeleo kama huu wa Bashite ndiyo kuna kuwa na maswali chungu nzima ambayo yanazidi kuangusha credibility ya Serikali na viongozi wake wote.

Iweje mtu avunje sharia za nchi hakuna hata wa kumnyooshea kidole!? Majaliwa kimyaaa! Mwigulu kimyaaaa! malaika mkuu kimyaaaa! Nape sasa ndiyo anaonekana kama mkosaji kwa kufutwa kazi! Hii nchi mnaipeleka wapi!? Kwa faida ya nani? Hata TWAWEZA machale yamewacheza WAMESTUKA sasa wanase,a from hero to zero!

Kulikoni hadi hii leo Bashite pamoja na kuvunja sheria za nchi mara mbili katika mwezi mmoja bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar!?
 
Mbona wala hakushangiliwa na watu wengi kivile...

Yaani vile vikelele vidogo tu tayari watu mshaanza mambo ya kumtangaza kuwa ni larger than life?

Watanzania bana!!

Nilikuwepo uwanjani,waliomshangilia wengi walikuwa ni wahuni.
 
Raha ya Jamii forums,ukileta wivu wako au kichefuchefu watu wanakumwagia ndimu,na ndimu zenyewe ndio kama ulivyoona kavideo safi ka kuleta ushahidi.

Ila turudi kwenye busara unajua Nape Mungu anakuona maana kila linalojiri kumbuka jamaa alisema "Shilawadu Shilawadu nawaona"
I mean anafuatilia mitandao hii
 
Nilikuwepo uwanjani,waliomshangilia wengi walikuwa ni wahuni.
Kwa maneno yako haya sawa tukubali maana hiyo 2/3 ya WA Tz tumebaki wahuni,si unataka mufurahi kusikia hivyo.
Muda tu utakuja kuongea....mbegu ikitapandwa lazima ioze.....Alifaidi matunda ya ccm kindaki ndaki toka enzi za msure wake anaongea hivyo we kolomije tu hata ubunge WA east Africa huwezi kuwa considered unawaita watanzania wahuni.

Reveal ur id uone balaa kati yako na uliowaita watu nani ataonekana kituko.
 
Hata mimi nilikuwepo na hizo kelele wala hazikuwa kwa ajili ya Nape peke yake.

Pale palikuwa ni uwanjani na lazima pangekuwepo na kelele tu hata kama Nape asingekuwepo.
Mie nilikuepo uanjani kiukweli nape alishangiliwa sana mpaka nikaona aibu
 
Wacha uongo, kwani umefukuzwa na Trump?
USA babe wa ghettoes!
Nyumbu unatamani nawe uende USA eeh

USA baby

20170204_142331.jpg
 
Back
Top Bottom