Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

Mbona wala hakushangiliwa na watu wengi kivile...

Yaani vile vikelele vidogo tu tayari watu mshaanza mambo ya kumtangaza kuwa ni larger than life?

Watanzania bana!!
Nilijua kwa usomi mnaojitangaza kila siku ungeongea kama post ilivyo. Ni wapi mleta mada aliposema Nape is larger than life? Mleta mada kasema Nape anaonekana kuwa larger than life celebrity leader, huoni tofauti ndugu?
 
Nambie kwanza kichwa cha mada kinasemaje...halafu nami ntakuonyesha mleta mada aliposema.
 
243eb439a192d59ea6d661fbb32ed37e.jpg
Mkuu hivi nape si CCM huyo inamaana lile Jimbo la mtama chadema mtachalazwa Tena.
 
ulikuwepo uwanjani ila nahisi maskio huna
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape nape nape nape nape nape nape

nape nape nape nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape nape nape nape nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape nape nape nape
https://scontent-amt2-1.cdninstagra...70_1323422044415535_7952564486110445568_n.mp4
Mkuu inamaana ukawa Jimbo la mtama mtamwachia nape .
 
Ndo maana CCM itatawala kwa muda mrefu sana.

Na karibu nahitimisha kuwa Tanzania hakuna vyama vya upinzani vya kisiasa.

Hao wapinzani karibu wote ni CCM bila hata wao kujijua.
Nimegundua hilo nape atapita Jimbo la mtama kwa kishindo
 
Waheshimiwa

Baada ya kuona hii video ya Bwana Nape Nnauye akishangiliwa na wananchi kama shujaa leo huko uwanja wa Taifa na watu wakigombaniana kumpa mkono kama celebrity wa Hollywood nime conclude kwamba:

Until last week Nape Nnauye was a leader BUT now he is Larger Than Life Celebrity Leader. The young man is going to have a very long and prosperous political career. Mark my words!
wacheni urongo nyie. propaganda ya kisanii haitawapa ushindi kwenye sanduku la kura. mtu kafurunda kazi mnajidai larger than life. wavuta bangi na wanywa viroba wakiongozwa na ukawa ndio wamemshangilia.
 
Leo Nape anaonekana shujaa! hahaha hakika Tanzania inastahili kuwepo kwenye sayari ya peke yake kabisa kwa vimbwanga kama hivi.
Hivi mwafahamu wapo fighters walimwaga damu lakini hata historia haiwakumbuki, mashujaa walipigania taifa kama vita ya majimaji kule Songea nk.
Shujaa huyu wa leo anatoka wapi, you must be kidding.
So wee shujaa wako ni Daudi Bashite au ? . Ila hata mimi namkubali kwa ujasiri wake wa kufoji vyeti na kuwateka watu wenye akili ndogo kama wewe? Big up sana Daudi Bashite.
 
wacheni urongo nyie. propaganda ya kisanii haitawapa ushindi kwenye sanduku la kura. mtu kafurunda kazi mnajidai larger than life. wavuta bangi na wanywa viroba wakiongozwa na ukawa ndio wamemshangilia.
r
Ni upumbavu mkubwa pale mtu anapolazimisha mdomo useme tofauti na kile macho yangu meona, wivu haufanyi ukweli ubadilike
 
MH Nape ameshapanda chati sana kwa makosa yaliyofanyika! Waeza mpiga chura teke,kumbe ndio umemuongezea mwendo!
 
Nyota ya Nape ilikuwa inang'aa sana tu hata kabla ya hapa. Tatizo upinzani walikuwa wanamkejeli na kumuita vuvuzela asiye mjua baba yake. Sasa ndio upinzani wanaamka. Vizuri sana.
Nape huwa anajua anafanya nini kwa wakati sahihi. Hawezi kupendwa na upinzani ilihali yeye ni mwenezi wa ccm ni kwasababu tu alitimiza wajibu wake ipasavyo
 
Kichwa cha mada kiko wazi au wewe umesoma mstari mmoja, hebu soma tena!

Nimekwambia unambie kichwa cha mada kinasemaje lakini umeogopa. Ngoja nikwambie mwenyewe sasa. Kichwa cha mada kinasema hivi "Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader"

Hiyo ni declarative statement. Unajua maana ya declarative statement ni nini wewe?

Kwa hiyo kwenye kichwa cha mada tu, kwa kuanzia, mleta mada kasema Nape ni "larger than life".

Na si kwenye kichwa cha mada tu, bali hata kwenye bandiko kasema hivyo. Ona hapo chini pa rangi nyekundu! Ni nukuu kamili kama ilivyo.

Waheshimiwa

Until last week Nape Nnauye was a leader BUT now he is Larger Than Life Celebrity Leader. The young man is going to have a very long and prosperous political career. Mark my words!

Sasa wewe umeniuliza hivi:

Ni wapi mleta mada aliposema Nape is larger than life?

Nami nakujibu hivi: mleta mada kasema Nape is "larger than life" kwenye kichwa cha mada kama nilivyokuonyesha na pia ndani ya mada yake kama nilivyokoleza hapo juu na maandishi mekundu.

Sasa wewe unadai kuwa mleta mada kasema "Nape anaonekana kuwa larger than life celebrity leader"

Mleta mada kasema Nape anaonekana kuwa larger than life celebrity leader, huoni tofauti ndugu?

Nami nakuuliza hivi, ni wapi mleta mada alipotumia neno "anaonekana"?

Sidhani hata utajibu maana tayari nimeshakugaragaza.
 
Kwa hivyo wafuasi wa team wema (ukawa) mnataka kusemaje ikiwa nape kashangiliwa sana uwanjani......kwamba mtamchukua kwasabb anawafuasi wengi kama "kamanda" sepetu au??
 
wacheni urongo nyie. propaganda ya kisanii haitawapa ushindi kwenye sanduku la kura. mtu kafurunda kazi mnajidai larger than life. wavuta bangi na wanywa viroba wakiongozwa na ukawa ndio wamemshangilia.
Kweli amevurunda kazi, aliyefanya kazi vzr nistarehe Daudi Bashite, pathetic.
 
Back
Top Bottom