Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,464
Waheshimiwa

Baada ya kuona hii video ya Bwana Nape Nnauye akishangiliwa na wananchi kama shujaa leo huko uwanja wa Taifa na watu wakigombaniana kumpa mkono kama celebrity wa Hollywood nime conclude kwamba:

Until last week Nape Nnauye was a leader BUT now he is Larger Than Life Celebrity Leader. The young man is going to have a very long and prosperous political career. Mark my words!
 
Attachments

  • VID-20170325-WA0092.mp4
    4 MB · Views: 47
Mbona wala hakushangiliwa na watu wengi kivile...

Yaani vile vikelele vidogo tu tayari watu mshaanza mambo ya kumtangaza kuwa ni larger than life?

Watanzania bana!!

Niliekuwepo mpirani na kuona live tukio ninathibitisha, kulikuwa kuna huge noise inayolingana na kushangilia goli la pili la Stars, pamoja na Standing ovation iliyolast kwa dakika nyingi kwa ajili ya mheshimiwa
 
Hata mimi nilikuwepo na hizo kelele wala hazikuwa kwa ajili ya Nape peke yake.

Pale palikuwa ni uwanjani na lazima pangekuwepo na kelele tu hata kama Nape asingekuwepo.
 
Hata mimi nilikuwepo na hizo kelele wala hazikuwa kwa ajili ya Nape peke yake.

Pale palikuwa ni uwanjani na lazima pangekuwepo na kelele tu hata kama Nape asingekuwepo.

Siyo kweli unachosema, Half time wakati wa mapumziko kikawaida huwa hakuna Cheering Noise na Standing Ovation unless iwepo performance nyingine besides football!. Hilo la leo however lilitokea Half time baada ya mheshimiwa kusimama na kupunga mkono kusalimia na noise ilikuwa kubwa sana, kiasi kwamba hata raia waliokuwa mbali na alipo (VIP) walipopata clue kuwa Mheshimiwa yuleeee, Uwanja mzima ulilipuka kwa sauti yenye kusambaa utadhani Domino effect
 
Leo Nape anaonekana shujaa! hahaha hakika Tanzania inastahili kuwepo kwenye sayari ya peke yake kabisa kwa vimbwanga kama hivi.
Hivi mwafahamu wapo fighters walimwaga damu lakini hata historia haiwakumbuki, mashujaa walipigania taifa kama vita ya majimaji kule Songea nk.
Shujaa huyu wa leo anatoka wapi, you must be kidding.
 
Na wewe unadanganya.

Pale uwanjani palikuwa na kelele licha ya uwepo wa Nape.

Halafu si uwanja wote ulilipuka kumshangilia yeye.

Ni kisehemu kidogo tu na watu wachache tu ndo walimshangilia.

Ila nyie manyumbu na propaganda zenu mnataka kujipatia kiki kwa kupotosha hali halisi ilivokuwa.

Manyumbu wakubwa nyie.
ngabu mm ni mmoja ninaoheshimu michango yako..
ila hata kama ni watu wachache, nani mwingine aliipata pale uwanjani?
hao wachache ni wengi maana hakuna aliepimana nae....
 
Mbona wala hakushangiliwa na watu wengi kivile...

Yaani vile vikelele vidogo tu tayari watu mshaanza mambo ya kumtangaza kuwa ni larger than life?

Watanzania bana!!

243eb439a192d59ea6d661fbb32ed37e.jpg
 
Siyo kweli unachosema, Half time wakati wa mapumziko kikawaida huwa hakuna Cheering Noise na Standing Ovation unless iwepo performance nyingine besides football!.

Kaka usitumie nguvu nyingi sana kuwaelewesha, i think wenyewe walikuwepo na wameona ila si unajua sa hivi watapinga hata ya kweli,! Anyway kwa muda mrefu hapa JF kuna watu niliamini akili zao zipo neutral ila sasa mashaka ni mengi sana kwa watu ambao niliamini ni rational being nao wameshtuka zamu yao imefika they cant hide their true colours let them be, Uzuri Mungu anabakia yule yule habadiliki baada ya muda flani na wanaoamini uwepo wake huwa hamfichi mnafiki na shetani si rafiki wa kudumu yupo kimaslah zaidi akishakuaibisha huwa anahamia kwa mwingine tena amuingize shimoni ile kwenye lile ziwa la moto apate kampani ya kutosha,

Samahani sana kwa ambaye hataelewa ninachomaanisha mimi si muandishi mzuri japo natamani niwe nianaandika mara kwa mara ila hicho kipawa sikupewa
 
Hata mimi nilikuwepo na hizo kelele wala hazikuwa kwa ajili ya Nape peke yake.

Pale palikuwa ni uwanjani na lazima pangekuwepo na kelele tu hata kama Nape asingekuwepo.
ulikuwepo uwanjani ila nahisi maskio huna
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape nape nape nape nape nape nape

nape nape nape nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape nape nape nape nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape
nape nape nape nape nape nape
https://scontent-amt2-1.cdninstagra...70_1323422044415535_7952564486110445568_n.mp4
 
Ngosha, nyota ya mh. Nape imeshang'aa. Wapinzani wake katika siasa asilimia kubwa wamemsamehe na kumkubali. Sababu kubwa amethubutu.....
Nyota ya Nape ilikuwa inang'aa sana tu hata kabla ya hapa. Tatizo upinzani walikuwa wanamkejeli na kumuita vuvuzela asiye mjua baba yake. Sasa ndio upinzani wanaamka. Vizuri sana.
 
Ushujaa wa Nape utaonekana akienda jimboni Mtama akapokelewa hata na watu 500 hivi,kinyume na hapo kushangiliwa na watu mpirani sioni tija pana kwa watu wake aliyowasahau tangu uchaguzi!!!!!....Lakini anapaswa kupongezwa kwa kusimamia anachoamini na kuwa tayari kugharimika nacho japo kuna wingu zito nyuma ya hicho anachotetea
 
Leo Nape anaonekana shujaa! hahaha hakika Tanzania inastahili kuwepo kwenye sayari ya peke yake kabisa kwa vimbwanga kama hivi.
Hivi mwafahamu wapo fighters walimwaga damu lakini hata historia haiwakumbuki, mashujaa walipigania taifa kama vita ya majimaji kule Songea nk.
Shujaa huyu wa leo anatoka wapi, you must be kidding.
Get it....hakunaga permanent situation.
 
Back
Top Bottom