Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

Waheshimiwa

Baada ya kuona hii video ya Bwana Nape Nnauye akishangiliwa na wananchi kama shujaa leo huko uwanja wa Taifa na watu wakigombaniana kumpa mkono kama celebrity wa Hollywood nime conclude kwamba:

Until last week Nape Nnauye was a leader BUT now he is Larger Than Life Celebrity Leader. The young man is going to have a very long and prosperous political career. Mark my words!
NO WAY ! IN A SHORT TIME, NAPE WILL SINK IN HISTORY, WE WILL FORGET HIM. NCHI KILA MTU ANAJALI HAMSINI ZAKE !
 
Kichwa cha mada kiko wazi au wewe umesoma mstari mmoja, hebu soma tena!

Nilijua tu f.ala na juha kama wewe huwezi kwenda sambamba na mimi katika hoja zilizojaa rejea.

Nimekuonyesha neno kwa neno mleta mada aliposema Nape ni larger than life na hujarudi tena.

😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hata mimi nilikuwepo na hizo kelele wala hazikuwa kwa ajili ya Nape peke yake.

Pale palikuwa ni uwanjani na lazima pangekuwepo na kelele tu hata kama Nape asingekuwepo.
Nakubali hoja zako nyingi ila hii napata shida
 
Mbona wala hakushangiliwa na watu wengi kivile...

Yaani vile vikelele vidogo tu tayari watu mshaanza mambo ya kumtangaza kuwa ni larger than life?

Watanzania bana!!
Hawa madogo wapiga kelele humu wengi wao wamezaliwa 1995 mpaka 2000, hawajui kuwa kuna wapinzani walikuwa wanabebwa "rejea mh rais Ali Hassan Mwinyi akasema waacheni wanaobebwa kama maiti", marehemu mzee wa magachori.
Na kuna mpinzani aliemfikia mh Lyatonga mrema, gari lake lilikuwa linasukumwa tu no dereva kuliwasha, WAKO WAPI HAO.
Tutishike na kina Wema na Nepi nnauye?
Huu upepo utapita na wabongo watamsahau nepi na wengineo
 
Inategemea na karata yake ataicheza vp usigeneralize...
 
Mi Nape ashaniudhii sijamsamehe mpaka leo na wala sioni ushujaa wake,,malipo yake hayo
 
Back
Top Bottom