Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,067
- 2,228
Hizi habari zina ukweli gani?
nashangaa sana kama umechelewa kupata ukweli wa taarifa hii!!
Hizi habari zina ukweli gani?
Mwisho wa kunukuu."Wakili Nsemwa aliimbia Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, mbele ya Jaji Aloyce Mujulizi kwamba wakati akipatwa na ugonjwa ghafla, Nnauye alikuwa tayari amekata tiketi ya ndege ambayo ingeondoka Dar es Salaam saa 12:00 jioni na kuwasili Arusha saa 1:30 usiku.
Hata hivyo, Wakali Nsemwa aliiomba Mahakama hiyo kupokea hati ya kutibiwa kwa Nnauye na tiketi aliyokata akisema atakuwa tayari kupokea maelekezo mengine ya mahakama hasa ikizingatiwa kwamba suala hilo ni la kibinadamu."
Katibu mwenezi wa ccm ameshndwa kuhudhuria kwenye kesi inayomkabili kwa kuingilia UHURU WA MAHAKAMA,inasemekana ameugua ghafla na amelazwa MIKOCHENI
SOSI:MWANANCH