Nape hoi hospitali, kalazwa

Nape hoi hospitali, kalazwa

Status
Not open for further replies.
Wampeleke INDIA.. bado natamani kumuona na uvuvuzela wake ndani ya miaka mitano.
 
kwa taarifa za hivi punde kutoka kwa wa jikoni jamaa anasumbuliwa na court fever.
 
Nape utohudhuria kikao cha NEC 23 imeelezwa ikiwa ni Masharti ya Mganga wake aliyeko pale Mlingotini Bagamoyo. Alishaelezwa kuwaha haya yatakuwa maandalizi.
 
Eh,so mganga kamwambia asiudhurie?
Nape utohudhuria kikao cha NEC 23 imeelezwa ikiwa ni Masharti ya Mganga wake aliyeko pale Mlingotini Bagamoyo. Alishaelezwa kuwaha haya yatakuwa maandalizi.
 
pole sana kaka,Mungu atakusaidia ila ukipona stop kumuongelea EDDO mana sisi tunampenda zaidi ya unavodhani.
 
Umetusaidia sana Chadema,naomba usife,uwepo wako ni muhimu sana kwetu.
 
Ugua pole Nape Mungu akuponye haraka urejee kwenye majukumu yako ya kila siku na hasa kuijenga Tz tuitakayo
 
Augue pole lakini mbona yeye huwa hayupo kwenye list ya akina mwakembe, mwandosia n.k? au na yeye yamemrudi? apelekwe india faster
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom