Nape hoi hospitali, kalazwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape hoi hospitali, kalazwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamwamwa, Nov 15, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. z

  zamwamwa Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kutka Lumumba kuwa vuvuzela la CCM Nape Nnauye kalazwa hoi akiumwa ugonjwa kama wa Kamanda Zito(kichwa) . Sijafanikiwa kupata Hospitali aliyolazwa, nikipata soon ntawajuza. Aliyekuwa akinijuza kastuka na kuishia njiani.

  But je ni mwendelezo wa adhabu ya Rais EL kwa wabaya wake????


  ============
  UPDATED
  ============

   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli pole mkuu Nape,mtani wa wanajf!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,770
  Trophy Points: 280
  atakuwa anasumbuliwa na stress.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  aende APPOLO INDIA
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Confirm the news please!

  In any case ... suspecting EL on this issue ..makes it clear what people think of HIM!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Alicheza ngoma sana kwenye ile picha kule jf photos. Get well soon baba
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  UGUA POLE...!

  THO SIMPENDI...at the end of the day we are all TANZANIANS!
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  pole Nape. Maradhi ni sehemu ya maisha ya binadamu
   
 9. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 807
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 80
  Kwa busara zako nakuamkia...shikamoo mkuu
   
 10. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Hata kama tunatofautiana katika fikra, itikadi na upeo si utamaduni wetu wa Tz kusherekea matatizo ya tunaotofautiana nao. Hii si ishara njema kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo ya Tz. Tukishindwa kuona wapinzani wetu wanapatwa mabaya kwa dua, tutawatendea mabaya kwa mikono yetu wenyewe.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sijui nisikitike au nifurah??
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Pole nape kwa kuumwa
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hizi habari zina ukweli gani?
   
 14. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli pole bro, ugua pole na nakuombea upone.
  Japo kiukweli kiitikadi sikukubali hata chembe.
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Isije kuwa amekunywa sumu baada ya kuona kikao cha NEC kinakaribia na wenyeviti wa mikoa wameapa kuwaadabishwa waasisi wa CCJ.

  Madaktari tafadhali mpeni dripu za maziwa ili akumbane na adhabu za unafiki wake. Pia tunamuombea kwa sana ili awe hai wakati CDM inachukua nchi chini ya mwamvuli wa katiba mpya hapo 2015.

  Muombee adui yako aishi siku nyingi ili utakapofanikiwa (KUSHINDA UCHAGUZI 2015) ajionee kwa macho...
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mmmhh! Hz tetesi nisingependa ziwe za kweli,Stress ni mbaya! MUNGU! Epusha mbali na Mi nafsi ntafanya muda si mrefu maombi kwa ajili yake na MUNGU ataenda kunyoosha mkono wake na kumpatia NEEMA kama kawaida na aendelee kuleta upupu wake humu!
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yaani kumbe wewe ni kidampa wa mbali sana, hauna hata habari ya bosi wako mgonjwa
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  hana lolote ni njia ya kukwepa kuvua gamba ktk kikao cha nov cc.atajitetea hakuhudhuria
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna mbegu kali sana ya chuki tunailea...
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  eti nasikia hawa jamaa wanataka kuanzisha kituo cha mchango tanzania kwa njia ya afya zao..
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...