Nape hoi hospitali, kalazwa

Nape hoi hospitali, kalazwa

Status
Not open for further replies.
Godbless Lema kamwachia kirago, sasa anaogopa nini hadi kuleta janja ya ED?
 
Kuna tetesi kutka Lumumba kuwa vuvuzela la CCM Nape Nnauye kalazwa hoi akiumwa ugonjwa kama wa Kamanda Zito(kichwa) . Sijafanikiwa kupata Hospitali aliyolazwa, nikipata soon ntawajuza. Aliyekuwa akinijuza kastuka na kuishia njiani.

But je ni mwendelezo wa adhabu ya Rais EL kwa wabaya wake????


============
UPDATED
============
Nape alikuwepo jana kwenye ile thread ya kuhusu kutokanyaga Arusha.

Akadai kuwa kesi hakuna kwasababu kina Lema wameshindwa kutibitisha kama kweli ni yeye "Nape" aliyasema maneno hayo...
 
Kama anajua alifanyaro apone haraka lakini Mungu akimwita amempenda zaidi
 
Hizi habari zina ukweli gani?
avatar23356_4.gif




Jamani Rejao kwanza nimekumiss sana Dada yangu! Ulikuwa wapi? Naona tayari umeshafanyiwa operation ya ngozi ukawekewa ile ya kitimoto. Umefanyia wapi? India?

 
Itakuwa ma stress yamemzidi, mana kila kukicha kupiga kelele!
 
Nape haumwi. Ameogopa lungu la mahakama. Nimeambiwa kwa siku tatu juzi walikutana na Frola nyumbani kwa Mengi. Wakakubaliana kuwa wadanganye kuwa Nape alinukuliwa vibaya. Ndiyo maana akaamua Frola kujidhalilisha. Huo ndiyo ukweli.
 
Ingekuwa ni uwezo wangu,ningemwambia,Mungu amchukue aende aka rest in peace,mimi cyo mnafiki,hata akifa hana msaada kwetu, sisi watanzania,zaidi ya matusi yake kwa watanzania wanaopenda mabadiliko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom