Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA


Kwa hiyo hayo ndo maneno ya great thinkers toka ccm? Kaaaaaaazi kwelikweli.
 
Aende akawapigie gitaa vijana wa CCM wakati wakigawiwa rushwa bila aibu mchana
 
Kwa hiyo hayo ndo maneno ya great thinkers toka ccm? Kaaaaaaazi kwelikweli.
Mkuu unashangaa? Mbona wako wengi huko? Huyo wanayem quote mwenyewe (Nape)unamwonaje? Unahitaji moyo wa chuma kumkiri kuwa ni kiongozi
 
Kama Dk Slaa ni tapeli wa kisiasa basi nape ni malaya wa kisiasa. Maana alivyokuwa amemshupalia Edward Lowassa na mafisadi wengine alivyofyata mkia alionyesha kuwa kisiasa ima ni changu au mtoto si riziki. Nape aache kutafuta umaarufu kwa kumdandia Dk Slaa. Shame on you Nape mapepe ninaye.
 
Nape ni mtoto mdogo sana kwa Dokta(PhD) juzi alikuwa pale Mzumbe (Dsm) anafanya SUPP. Sijui alikamatwa tena? Mwenzake ni msomi mkubwa yeye anasumbuana na supplementary za Masters.
Mbona Nape hajatuambia alisupp Mzumbe?
 
Nape ni Changu doa wa kiume huyo, kwani kama kweli JK hakwenda China kumwokoa mwanae mbona haja jibu kitu, hizo ni shutuma kubwa kwa mkuu wa nchi , hiyo habari hata mimi nilipata kitambo kuwa JK alienda na ndege faster baada ya Riz kukamatwa na Madrug, Sasa tunataka Jk akanushe ili wazee watoe Ma Evidence, Nape funga Bakuli lako
 
Nape asubiri maboresho ya daftari lakudumu la wapiga kura ndipo matokeo chanya ya M4C yatapo anza kujiri kwenye chaguzi ndani ya Nchi hii.
 
Mi nashanga mnavyosumbua akili zenu kwa nape huyo jamaa sura yake tembea yake matamshi yake sizani ni mzima huyo jamaa huwenda si ridhiki.kwa akili ya kawaida tuu magamba wamepoteza madiwani wa 4 yeye anajisifia na kama sio uwizi wa kura mahenge,bangata,bagamoyo.lushoto,mwawanza shy vilikuwa vimechukuliwa na cdm.anapoteza ajisifu kweli wajinga ndio waliwao.
 
Yaani hii Tanzania.....si bure, this country is doomed! Kama kuna mtu anayejiita mwenye akili timamu anashabikia huu upuuzi aliousema Nape, ajifikirie mara 10! Honey K et al, mnahitaji zaidi ya maombi...inasikitisha kwa kweli!
 
Mukama na midevu yake kwanza ajiuzulu na JARIDA LAO LA MAANDAZI UHURU.
 

Inahitaji akili ya mwendawazimu kukubali kuongozwa na Dr. Slaa.........bingwa wa kudanganya....kamkimbia mpaka Mungu itakuwa binadamu???
U
 
CCM Wanawakumbusha mkono ile kauli yenu Ukomboz wakweli utaletwa na mtu aliyezaliwa baada ya uhuru
 
 
Usitegemee ccm kuongelea cuf na tlp,,,hawa ni mapacha watatu,,,,na wala usitegemee nape amuongelee lipumba na mrema maana wana hisa ccm,,,,chama kinachotarajiwa ku - clinch into power lazima kiongelewa sana na hasa mtu anayeonekana kuwa kikwazo kwao...

Kazi ya nape ni uenezi,,,na huo ndo uenezi wenyewe,,,,vema kujiuliza kwa nini ccm wamepoteza hizo kata nne kwa chadema,,,,je si ishara mbaya ya 2015? Ambayo haiko mbali...?
 

hivi kwenye mtihani ukipata asilimia 20 wakati mwaka jana ulikuwa na asilimia 8 utasema umeshinda ati kwa vile maksi zako za mwaka huu ni mara mbili na nusu ya za mwaka uliopita?
 
Inahitaji akili ya mwendawazimu kukubali kuongozwa na Dr. Slaa.........bingwa wa kudanganya....kamkimbia mpaka Mungu itakuwa binadamu???
U

nawaonea huruma sana mods wetu hapa jukwaani! Wanapata shida sana kutambua wanaoposti wakiwa wameshakunywa viroba, banana, chimpumu, pingu na hasa waliochanganya changanya kama wewe! Haiwezi kuwa ni akili timamu iliyokutuma ukaposti huu *****!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…