MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Nina jamaa yangu ni Red Brigade hapa mjini, Tuna itikadi tofauti kabisa lakini mbona hajawahi kusema haya anayoyasema Nape? Nape mbona unakua mwongo sana?We unafikiri hizo ndio propaganda au unajidhalilisha tu? Unawachukuliaje watanzania kwa kuwadanganya? siasa za uongo huwezi kufika nazo mbali.Nakumbuka uliwahi kusema kua marehemu Mwangosi ameuawa na Chadema,Lakini alishitakiwa kwa mauji hayo leo si kiongozi wa chadema bali ni askari polisi.Shame on you.