Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Hiyo green guard ni malaika wake walinzi au nyambaf
 
Akiongea leo mkoani Dodoma katika mkutano wa hadhara,katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,bwana Nape Nnauye , amekielezea kikundi cha Red Brigade kama kikundi cha kigaidi kinachoweza kuvunja amani ya nchi na kuwataka wananchi kuwa macho na vikundi vya aina hiyo.

CHANZO:ITV

My take;
Hivi kati ya Red Brigade na watuhumiwa wa Escrow,nani anahatarisha amani ya nchi hii?!

kati ya redbrgd na greenguard nani anahatarisha amani?waganga njaa wana kazi kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Kwahili la hivi vikundi vya redbriged na kile cha ccm kiukweli watanzania kuna sehem tumekosea. Madhara ya makundi kama haya ni makubwa. Jeshi la polis kazi ni kutulinda sisi na mali zetu. Kwahiyo hawa viumbe hawakutakiwa wawepo. Tunajiandalia bomu
 
Akiongea leo mkoani Dodoma katika mkutano wa hadhara,katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,bwana Nape Nnauye , amekielezea kikundi cha Red Brigade kama kikundi cha kigaidi kinachoweza kuvunja amani ya nchi na kuwataka wananchi kuwa macho na vikundi vya aina hiyo.

CHANZO:ITV

My take;
Hivi kati ya Red Brigade na watuhumiwa wa Escrow,nani anahatarisha amani ya nchi hii?!
Ndugu Nape ni bora ukaangalia kushoto na kulia kabla ya kuvuka barabara .
 
Attachments

  • 11051875_794677313947791_4878716622277542581_n.jpeg
    11051875_794677313947791_4878716622277542581_n.jpeg
    12.1 KB · Views: 785
Last edited by a moderator:
Ukweli anaujua ila huyu mtu ni sawa na mfa maji haachi kutapatapa.

Naamini hata hii post aliisoma ila basi tu anajifanya haelewi

Na sisi haya maswali tutawauliza wananchi watuambie .Weekend hii nitakua kwenye Mkutano wa hadhara Mkoa wa Pwani
 
angalia tu sura za read breaged hawana tofauti na kikundi cha kijambazi hawajui hata sera za chama chao sioni hata nembo ya chama chao
 
Kumbe Nape,mwacheni huyo jamani.....yupo kibaruani.sina wasiwasi na Watanzania Wa sasa na vizuri zaidi wanasikia kila kukicha lugha mbofumbofu za Watu Wa escrow. Tujadili vitu logic,tuachane na hao walishajichokea na kuishiwa hoja.
 
Sifa kubwa ya serikali yetu ni kufumbia macho chokochoko au mambo ambayo yana mwonekano hasi au yanahatarisha amani yetu Leo au hata siku za baadae. Fani ya ualimu ilishushwa thamani hivi hivi watu wasiokuwa na sifa wakanunua vye. .ti na kuwa walimu hadi Leo matokeo yake ualimu ukashuka hadhi elimu chini.
Kazi za wasanii watu wamechoma cd hadi wamekimbia sasa no cd wengi singles mapato chini.

Na ulinzi tena? ??? Hizi ni dalili mbaya rais anajua, pm anajua, vyama vinajua hata mimi pia najua. Hivi unafikiri wanajeshi halisi wanapenda kuona wajinga wakifanya kazi zao tena kwa viwango duni kabisa? Chonde chonde futeni CCM & CHADEMA makundi hayo kabla hayajaanza kutambulika rasmi kwenye katiba za vyama otherwise tuombeane ili tushuhudie yatakayofuatia.
 
Green guard, red guarfs, black guards,wote wapigwe chini, hawa wanasiasa wanatutengenezea vikundi vya kigaidi tu. Mwisho utasikia wagagagigikoko nao wameunda jeshi lao
 
Kwahili la hivi vikundi vya redbriged na kile cha ccm kiukweli watanzania kuna sehem tumekosea. Madhara ya makundi kama haya ni makubwa. Jeshi la polis kazi ni kutulinda sisi na mali zetu. Kwahiyo hawa viumbe hawakutakiwa wawepo. Tunajiandalia bomu

Huo ndo ulinzi shirikishi; kama unavyoona makampuni mengine ya ulinzi mfano Kk security, G4S nk. Polisi hawawezi peke yao ndugu; mwambieni Nape aache kupotosha watu na kuchochoea vurugu, ana hofu ya kisiasa hana jipya. Chadema jilindeni tuko nyuma yenu achaneni na mpiga debe tu huyo.
 
Akiongea leo mkoani Dodoma katika mkutano wa hadhara,katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,bwana Nape Nnauye , amekielezea kikundi cha Red Brigade kama kikundi cha kigaidi kinachoweza kuvunja amani ya nchi na kuwataka wananchi kuwa macho na vikundi vya aina hiyo.

CHANZO:ITV

My take;
Hivi kati ya Red Brigade na watuhumiwa wa Escrow,nani anahatarisha amani ya nchi hii?!
Huu ni zaidi ya upuuzi! Wezi wa pesa za uma nao wanasifiwa? Nape asitupotoshe hapa na yeye ndiye anayekiua chama. Yaani unataka kutuambia wezi wa Escrow ni bora?
 
Last edited by a moderator:
Uwaga namdharau always huyu mbumbu wa fikra!ila wapo wenzake wenye fikra kama zake anaweza kwenda nao sambamba!
 
Vikundi vyote vipigwe marufuku iwe green, red, au kile cha cuf (sijui kinaitwaje), vyote hivi ni vikundi vya kigaidi ambavyo vitatugharimu sana hapo baadaye! Sasa ukiangalia hao red brigade ni kama magaidi fulani hivi, makoti meusi, miwani mieusi na makofia meusi sasa hiyo ndo nini? Hapo CHADEMA tumekurupuka, hatukutafuta ushauri mzuri! Kwani kungekuwa na ubaya gani kama wangevaa magwanda tu au T-shirt za M4C? Tukubali kubadilika bwana! Hizo sura hazinivutii kabisa!!
 
Green guard, red guarfs, black guards,wote wapigwe chini, hawa wanasiasa wanatutengenezea vikundi vya kigaidi tu. Mwisho utasikia wagagagigikoko nao wameunda jeshi lao

polisi guard, escrow guard, etc nako wapigwe chin!
 
Back
Top Bottom