Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Mtumbo wake mkubwa Kama mtungi unampofusha fikra kima huyo wale waliokua wanapiga gwaride maji maji songea ni kina nani? greenguard ni kina nani? Akafie mbele na njaa yake.

mkuu, siku hizi umehamia chadema?
 
Mtumbo wake mkubwa Kama mtungi unampofusha fikra kima huyo wale waliokua wanapiga gwaride maji maji songea ni kina nani? greenguard ni kina nani? Akafie mbele na njaa yake.

Hivi yule jamaa na mtumbo wake mkubwaaaaaaaaaaa si wanamgongea wife wake jamani

Hebu mwenye picha ya my waifu wake aitupie huku tufanye tathimini za kwenda kumgongea

Manake kwa tumbo lile hakuna kitu
 
Unaweza kufika wakati ukaowaomba al shaabab wapige show kama tatu hivi nchini ili nape ajue gaidi anafanyaje mambo yake. Acha kabisa kuhubiri ugaidi bwana nape,wale jamaa hawafai kabsaaaaaa.
 
Nape ni zaidi ya MAARASI na LUJA; siamini kama ana familia na kama anayo itakuwa inataabika sana kwa kauli na matendo yake; hakika huyu kiumbe hastahili kabisa kuwa kiongozi kwenye jamii iliyostaarabika na kuishi kwa uadilifu.

Nape ashukuru sana kwa kuzaliwa na kulelewa ndani ya chama kinacholinda na kutetea wahalifu, wezi, mafisadi na wauaji vinginevyo sijui angekuwa wapi...
 
Maneno ya nepi ni hewa chafu inayotokea mlango wa nyuma kutokana na kujaza, pilipili,tomato sosi,ulanzi wali maharage kwenye ziara, Biere, Mahindi ya kuchoma kwenye lile tumbo kubwa utafikiri Kibanda cha kufugia Minyoo...!!!

BACK TANGANYIKA

Duh! Nape Mtumbo...
 
Kama Red Brigade ni kikundi cha uhaini Je Nape ananataka kuutangaizia umma wa Watanzani kwamba serialikali inayoongozwa na Chama chake imelala? Ameteuliwa kwa jina sio kwa uwezo alionao
 
Tatizo la Nape yy haijui kabisa siasa ila anaforce tu kwa ajili ya njaaa alokuwa nayo.
 
Nape is very right..red brigade ni magaidi
Kama hawa hapa?
attachment.php
 
TANU na baadae CCM wamekuwa na vikundi vya KIGAIDI tangu kuasisiwa kwa taifa hili. malengo ya zamani yalikuwa sahihi sababu walikuwa wanahitaji kujilinda hasa kuhakikisha usalama wa viongozi wao dhidi ya utawala wa mkoloni.
Tunashangaa hata baada ya Tanganyika kupata Uhuru vikundi vya ukakamavu/vijana TANU/CCM viliendelea wakati tulikuwa na majeshi ya kizalendo tena chini ya chama kimoja kuimarisha amani ya viongozi, wananchi na mali zao lakini pia usalama wa nchi.

Sheria hairuhusu vyama vya siasa kuwa na vikundi vya usalama, ili tuweze kukomesha hilo tunapaswa kutokomeza GREEN GUARD ya CCM( ISIL), sambamba na RED BREGEDI ya CHADEMA na BLUE BRIGEDI ya CUF
 
nape kawaida yake ndio maana kawekwa kwenye kile kitengo.....itikadi na uenezi ndo kazi kama hizo anatakiwa kufanya.
 
Kumsikiliza Nape ni kutokuitendea nafsi yako haki, ni kuuchosha ubongo wako kujadili mambululula
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM-Taifa, Nape Nnauye amechoka. Amechoka kimwili,kiakili,kimaneno na kimatendo. Kila uchao na kila apitapo,Nape anasema yale yale na kwa namna ile ile. Sasa Nape ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM,Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana huko Dodoma. Nape ana ngekewa ya kupewa jukwaa na kuhutubia. Viongozi wa kitaifa waamuamini na kumpa nafasi.

Nape amechoka.Uchovu wake sasa u wazi kabisa. Anarudiarudia yale yale palepale na kwingineko.Yeye ni CHADEMA tuuuuuuuu...basi.Hana hoja za haja za kuwaambia wananchi na kuiuza vyema Ilani yetu ya CCM ya 2010-2015. Kuonesha Ilani ilivyotekelezwa kwa vitendo na vitengo kumemshinda Nape. Nape anang'ang'ania ugaidi,utapeli wa CHADEMA na mgogoro wa CHADEMA.

Nape habadili santuri. Hana jipya.Hapaswi kuendelea kupewa jukwaa na kuendelea kuwaboa na kuwakera wananchi. Apumzishwe. Kurudiarudia maneno na matendo ni uchovu wa dhahiri kwa Nape Nnauye. Nafasi adhimu anayopewa Nape apewe mwingne chamani. Kama vijana tunao wengi tu!


Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kujibu hoja zozote zaidi ya kuumiza masikio ya wananchi kwa kelele kwenye mic tu
 
Hana jipya huyo, maneno yanamtoka tu yasiyopangika yasiyo na weledi wowote na mwishowe ni kuumiza masikio ya wananchi tu
 
Back
Top Bottom