Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

amesahau bana coz ccm ndo ilikuwa na mpango wa kuingia msituni ikiwa chini ya kapten komba bahat mbaya au nzur amefariki kabla mpango wao haujatimia
 
akili ya nape ni sawa kondoo! yani sijui anaongozaje familia yake humo ndani.nikama taahira

Kweli!!! Mkuki kwa nguruwe mtamu ila mchungu kwa binadamu, CCM ni waanzilishi wa haya vikosi leo ya CHADEMA ni cha ugaidi ingali wao wanayo cha kwao, Simupendi huyu jamaa kwa kweli
 
Chadema kwa ku panic, hahahahahaha sasa hao vijana wenu wa ulinzi wa nn? kuzuia vurugu za wana CCM ambao hata kwenye mikutano yenu hawaji, au kuzuia watu wenu wasipigwe na polisi mkifanya vurugu? Mnapoteza hela za suti hizooooooo. Siko CCM natamani niingie hata kesho.
 
Mkiangalia CCM wametulia hata hawawajibu kitu, mnaongea wenyewe humu ndani, najua mtatukana, nakusema sana hapa nilichoandika, sababu mna panic.
 
Nyani haoni......................ila huona la mwenziwe
 
CCM wana kikundi chao kinachoitwa Geen guard so wasinune wenzao wanapoanzisha
 
ImageUploadedByJamiiForums1425745757.817643.jpg hawa nao wakina nani?
 
MEANDU
Nimezoom ili nione jina la Nape bado sijaliona.Yamkini alikuwa anatumia jina lingine katika familia

Wakati huo alikuwa bado hajapendekezwa kuwa mtoto wa Marehemu Moses Nnauye. Alikuwa bado anadhaniwa ni mtoto wa MWANDOSYA!!!
 
Kumekuwa na mpango wa siri wa chadema kutumia redbrigade kutambua makazi ya maafisa wa serikali na magari yao kwa lengo la kuwadhuru ili washindwe kutekeleza majukumu yao.

Mpango huo unaratibiwa na chadema makao makuu na tayari redbrigade wamekwishaagizwa kuanza kazi hiyo mara moja.

Mpango huo umelenga kuchoma nyumba, magari au hata kuwaibia ili waweze kuwaza zaidi juu ya kujilinda huku wakiacha majukumu yao ambayo chadema wanadai ndio kikwazo chao cha kuingia ikulu.

Wamekubaliana kulifanya hili kama vile mauaji ya albino yalivyofanyika ili kuhamishia attention ya maafisa hao katika usalama wao na mali zao, jambo litakalotoa mwanya kwa chama hicho kufanya mipango yao ya kuingia ikulu.

My take.
Chadema hamna serikali hivyo kitendo hiki kitapelekea kila mtu kuwaona nyie ni wauaji na hata mashambulio yenu dhidi ya walemavu wa ...litawekwa wazi.

Pia hamna nguvu ya kupambana na serikalini. Subirini na muwe wapole.

Imevuja bahati mbaya.
 
Bado mnadhani propaganda za kizee zitawasaidia?
 
Acha unafiki kama mmepaga kuchoma nyinyi ccm ili muwasingizie chadema imekula kwenu matukio hayo mmeyafanya zanziber kuchoma mashule kuchoma makanisa kumwaga kinyesi kwenye maji alafu mnaisingizia cuf acha ujinga
 
Kumekuwa na mpango wa siri wa chadema kutumia redbrigade kutambua makazi ya maafisa wa serikali na magari yao kwa lengo la kuwadhuru ili washindwe kutekeleza majukumu yao.

Mpango huo unaratibiwa na chadema makao makuu na tayari redbrigade wamekwishaagizwa kuanza kazi hiyo mara moja.

Mpango huo umelenga kuchoma nyumba, magari au hata kuwaibia ili waweze kuwaza zaidi juu ya kujilinda huku wakiacha majukumu yao ambayo chadema wanadai ndio kikwazo chao cha kuingia ikulu.

Wamekubaliana kulifanya hili kama vile mauaji ya albino yalivyofanyika ili kuhamishia attention ya maafisa hao katika usalama wao na mali zao, jambo litakalotoa mwanya kwa chama hicho kufanya mipango yao ya kuingia ikulu.

My take.
Chadema hamna serikali hivyo kitendo hiki kitapelekea kila mtu kuwaona nyie ni wauaji na hata mashambulio yenu dhidi ya walemavu wa ...litawekwa wazi.

Pia hamna nguvu ya kupambana na serikalini. Subirini na muwe wapole.

Imevuja bahati mbaya.

acha propaganda za jijuha!
 
Mbona huzungumzii watoa kucha na wang'oa meno aka green guards?
 
Back
Top Bottom