Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Kila ninapomsikiliza Nape ninashindwa kuelewa kama kweli ndani ya CCM hakuna watu wenye uwezo na akili nzuri zaidi ya Nape!
 
mama yake ndiye anayemjua baba yake. Kama huyu angekuwa baba yake nadhani genetically wangefanana angalau kidogo. Kuna contrast kubwa mno hapo. Nadhani mzee wa watu kachomekewa tu
 
Mingoi nijalie hali ya afya ya Naibu Spika Job Ndugai. Nasikia mmemwakyembe, je taarifa hizo zina ukweli kiasi gani?



Nduguyangu Mwita hilo swali nikaa la moto utasubiri majibu mpaka utachoka kwa sbb uliowauliza wanajua ukweli ila mpaka waruhusiwe na Lumumba killers kutoa majibu
 
Last edited by a moderator:
Wamekutisha kiongozi? Usiogope Red Brigade wako kwa maslahi ya taifa na katiba ya chama chao imewabainisha sawia.

Swali kwako:-

Green Guards, wanaoteka, kutesa na kuua watu, ni kundi gani zaidi ya ugaidi? Wamebainishwa wapi kwenye katiba ya ccm?

Chombo gani kinaregulate vikosi vya sungusungu kwamba vina katiba na miongozo vinayoifuata kwamba havitakuja kuasi porojo za watawala na kuwageuka, kuanzisha majeshi ya kikabila ama kufanya ugaidi kulingana na mwelekeo wa tamaduni za mahala husika?

Naomba ujibu hoja kwa hoja, huna hoja, nyamaza nitaelewa umeelewa.


Nape is very right..red brigade ni magaidi
 
Nape yuko sahihi kabisa.

Naifananisha RB na Mungiki.

attachment.php


ccm.jpg


attachment.php


Nadhani hawa watakuwa hawana tofauti na boko haram & isis..!
 
Akiongea leo mkoani Dodoma katika mkutano wa hadhara,katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,bwana Nape Nnauye , amekielezea kikundi cha Red Brigade kama kikundi cha kigaidi kinachoweza kuvunja amani ya nchi na kuwataka wananchi kuwa macho na vikundi vya aina hiyo.

CHANZO:ITV

My take;
Hivi kati ya Red Brigade na watuhumiwa wa Escrow,nani anahatarisha amani ya nchi hii?!

He is more than kilaza!

Aliwai kusema warioba na wanatume wenzake watakufa mbona hadi leo wapo?
 
Last edited by a moderator:
Nape na siasa za dhihaka kila kukicha aniua CCM yake kwa mikono yake mwenyewe akijua kua wananchi wapo bado gizani kumbe wanatambua vitu vingi sasa, ajirekebishe na fanye siasa za kisasa na sio kupiga majungu yasiyo na tija, mafunzo ya kijeshi na kiusalama wanayopata green guard pale IHEMI iringa ndio sio ya kuvuruga amani?
 
maneno ya Nape ni ya kisiasa....ila ngoja tuone sinema itakavyoendelea
 
Akiongea leo mkoani Dodoma katika mkutano wa hadhara,katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,bwana Nape Nnauye , amekielezea kikundi cha Red Brigade kama kikundi cha kigaidi kinachoweza kuvunja amani ya nchi na kuwataka wananchi kuwa macho na vikundi vya aina hiyo.

CHANZO:ITV

My take;
Hivi kati ya Red Brigade na watuhumiwa wa Escrow,nani anahatarisha amani ya nchi hii?!

He is more than kilaza!

hawa vijana 6000 ambao wapo katika kambi ya Tunguu iliyopo mkoa wa Kusini Unguja,ambao kazi yao wanapewa mafunzo ya kigaidi na CCM na namna gani ya kuanzisha vurugu katika uchaguzi.Maana imefika mpaka kuwekewa picha ya Maalim Seif na Juma Duni wakaambiwa wajifundishie kulenga shabaha.Jee hili Nape hujaliona au hulijui kama hulijui njoo Zanzibar nitakupeleka mpaka huko au niko tayari kukuunganisha na vijana ambao wako huko ambao kwa maoni yao CCM waliona ni wao kumbe wamekwenda kwa ajili ya kula bure na posho la 10,000 kila siku.
 
View attachment 232246
View attachment 232247
Hawa sijui ni kina nani. Hivi huko ccm hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima wakuweza kumwambia Nape aache kuropoka ropoka hovyo? Au wote wana akili sawa naye?


Ni sawa na kuwashauri vipofu waonyeshane njia ..............................!! Nape nafikiri itakuwa vizuri kama atarithishwa mikoba ya Marehemu Komba!! Hiyo ndo kazi atakayoiweza!!
 
Mkuu hawa sisiem ni mfa maji haishi kutapatapa nawaomba wasome kitabu cha Daniel 5:1 na kuendelea na Warumi 3:10 - 15. Muda wao umeisha wanajaribu kuwaaminisha wananchi kiusanii.
 
Wewe kila siku unawadanganya wanaJf kuwa ni kiongozi wa CCM Makao Makuu.

Sasa unawaomba kina nani wampumzishe wakati wewe ndiyo unatakiwa umpumzishe?.

Au umesahau kama wewe ni kiongozi wa CCM makao Makuu.

Vijana wa BAVICHA mnafurahisha sana.

Unakuja kwa unafiki wa kutoa ushauri baada ya kupata kipigo cha hoja.

Usishangae Sana

UNAFIKI ni tabia rasmi ya CCM

Wamejinasibisha nayo na wanaendelea kudumu nayo
 
Heshima ya nape ipo kwa wanaCCM na wasioenda shule tu basi maana ni mlopokaji asiyefikiria nini anakiongea
 
Huyu Nape mwache tu siku zake huko ccm zinahesabika

Aendelee kuropoka kwa muda uliobakia mwaka huu wataisoma namba, hakuna kulia lia tena, mara oooh tumeibiwa kura, oooh tumepigwa na green guard au polisi nooooo and big nooo.

Hatupangi kumshambulia mtu bali kujilinda dhidi ya adui anakuja kutudhuru au kuwadhuru wanachama na wafuasi wetu.
 
Jamani Marehemu Mzee Nnauye hakuacha mtoto anayeitwa Nape.

Jina Nape kirefu chake ni Napegwa - jina la Kinyiramba,Nape ni Mnyiramba wa Sgd na amesota sana tu hapa Singida akiimba kwaya kwenye makanisa ya Kipentekoste hapa mjini kabla ya kujitutumua na kuanza kumtukana Lowassa ndo chakula akapata na ndo hilooo tumbo kubwa mnaloliona analo sasa,kasota sana hapa akijaribu ku-risit mitihani na kuchemka mara kwa mara,the easier option was to venture into politics maana huko ni kupiga domo tu chakula unapata.
 
Back
Top Bottom