Shenkalwa
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 580
- 132
Ndugu Nape ni bora ukaangalia kushoto na kulia kabla ya kuvuka barabara .
Kwa hiyo ccm inamiliki silaha?? Maana hawa green guards kila mmoja ana sila begani!!
Ndugu Nape ni bora ukaangalia kushoto na kulia kabla ya kuvuka barabara .
Wewe siasa zako ni Jamiiforums.
Hufahamu hata kushika mic kwenye mkutano wa kisiasa wa hadhara achilia mbali kuongea na kueleweka.
Pamoja na kupiga kelele kila sekunde hapa Jamiiforums, Uenyekiti wa Bavicha uliota mbawa.
Tisha toto ya kwenda mahakamani ikaishia kwenye mitandao.
Ujumbe wa Kamati Kuu ukaishia kwenye makaratasi.
Kwa sasa unasubiri hisani ya Katibu Mkuu wa CHADEMA.
MwanaDiwani,unajidhalilisha. Acha kunifuatilia mimi kijana.Ninakuheshimu lakini huniwezi. Endeleeni na ziara na Katibu Mkuu Kinana. Kazi yako ni hiyo ya kuripoti kinachotokea.Haumo kwenye wajenzi wa hoja.Kila la heri huko ndugu yangu MwanaDiwaniWewe kila siku unawadanganya wanaJf kuwa ni kiongozi wa CCM Makao Makuu.
Sasa unawaomba kina nani wampumzishe wakati wewe ndiyo unatakiwa umpumzishe?.
Au umesahau kama wewe ni kiongozi wa CCM makao Makuu.
Vijana wa BAVICHA mnafurahisha sana.
Unakuja kwa unafiki wa kutoa ushauri baada ya kupata kipigo cha hoja.
mkuu, siku hizi umehamia chadema?
Mkuu, kumkosoa Nape haimaanishi hatumtakii mema, kwanza walioko hapa wanavipato vyao na hawana sababu ya kulilia fadhila, tunataka ccm wenye uwezo wa kutawala na kama itashindwa basi kiwe chama cha upinzani chenye nguvu vilevile ili chama tawala kisejefanya madudu yaleyale ya ccm.
Hawezi kujibu hoja zozote zaidi ya kuumiza masikio ya wananchi kwa kelele kwenye mic tu
Nape yuko sahihi kabisa.
Naifananisha RB na Mungiki.
Wewe kila siku unawadanganya wanaJf kuwa ni kiongozi wa CCM Makao Makuu.
Sasa unawaomba kina nani wampumzishe wakati wewe ndiyo unatakiwa umpumzishe?.
Au umesahau kama wewe ni kiongozi wa CCM makao Makuu.
Vijana wa BAVICHA mnafurahisha sana.
Unakuja kwa unafiki wa kutoa ushauri baada ya kupata kipigo cha hoja.