Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 441
uwezo wanao; wako wengi kwenye mabaraza ya Katiba na watakuwa wengi kwenye Bunge la Katiba.
Katiba ya kukidhi matakwa ya Watanganyika, kamwe haiwezi kupatikana chini ya utawala wa Chichiemu!
uwezo wanao; wako wengi kwenye mabaraza ya Katiba na watakuwa wengi kwenye Bunge la Katiba.
source bbc kwa mujibu wa taarifa ya habari bwana nape nnauye kasema atatoa tamko la chama juu ya rasimu ya katiba kwani wao kama chama tawala na wana wabunge wengi na wanauwezo wa kukaa kama kamati na kuamua wapendavyo wataamua wapi walalie juu ya katiba. Na tamko hilo lonatolewa leo mchana mara baada ya kumalizika kwa kikao kilichoanza jana
Wasithubutu kuichakachua rasimu ya katiba hii. wakubali tu kutega kalio watulie mpaka dawa ihingie
ril tusimame pamoja kuwa kuwapinga kwa uhuni wao
Kama CCM inataka kupinga rasimu ya katiba kwa manufaa yao, sasa inabidi tutafute njia muafaka ya kuwaonasha tumewachoka na hii Tanzania si mali yoa ni mali ya wananchi. Kama yatafanyika maandamano makubwa ya kuwaambia wao si mabwana zetu, tuliwapa tu ridhaa ya uongozi, na kama wakitaka kuendelea kuongoza wankuja kutuomba kura, basi wahesshimu matakwa ya wananchi na si matakwa ya CHAMA CHA KIFISADI
CCM wakatae hii rasimu ilivyo na kuwa watatumia mabaraza ya Katiba kupendekeza wanavyotaka wao.
we ndiyo mpuuuuuuuzi kupitiliza, kunaneno chadema hapo juu? hii lazima ile kwenu. CCM ni kundi la mafisadi ambalo wanana wasiwasi siku wakitoka madarakani ni lazima wakakae nyuma ya nondo. na hii si siri ni jambo lililo wazi. na mpuuuuumbavu ni wewe na mafisadi wenzako jiheshimu ----- we, mimi sikutukana nilitoa maonianayekudanganya kuwa Tanzania Mali ya chadema ni nani?ni wananchi gani hao unaoeaongelea ambao wa ccm sio wananchi?tatizo mnajilisha upepo kuwa matakwa ya chadema ndo ya nchi Pumbafuuuuuuuuuuuu
we mbona wakatoliki wamechakachua biblia hupigi kelele sembuse ccm kuchakachua katiba