Nape: CCM kutoa tamko juu ya katiba leo mchana

Status
Not open for further replies.
source bbc kwa mujibu wa taarifa ya habari bwana nape nnauye kasema atatoa tamko la chama juu ya rasimu ya katiba kwani wao kama chama tawala na wana wabunge wengi na wanauwezo wa kukaa kama kamati na kuamua wapendavyo wataamua wapi walalie juu ya katiba. Na tamko hilo lonatolewa leo mchana mara baada ya kumalizika kwa kikao kilichoanza jana

mgogogoro mpya unaenda kutokea huooooooooooooooooooooooooooo! Nauona .......
 
Siasa bwana! Leo CDM inaunga mkono serikali tatu eti kuna watu wanaunga mkono pia! Watu hao hao wasiopenda mafisadi leo wanahalalisha ufisadi kwa katiba! Serikali tatu kwa mawazo ya kibubu ni kuongeza ulaji kwa watu fulani ndani ya nchi. Wanataka kuwapa wana siasa vyeo, tunahitaji viongozi wa taifa na si wa serikali tatu. Nchi yetu ina matatizo mengi yanayohitaji pesa, sasa kama tutahonga wanasiasa eti kwa kulinda muungano ni utahira! Serikali moja inawezekana
 
Kama CCM inataka kupinga rasimu ya katiba kwa manufaa yao, sasa inabidi tutafute njia muafaka ya kuwaonasha tumewachoka na hii Tanzania si mali yoa ni mali ya wananchi. Kama yatafanyika maandamano makubwa ya kuwaambia wao si mabwana zetu, tuliwapa tu ridhaa ya uongozi, na kama wakitaka kuendelea kuongoza wankuja kutuomba kura, basi wahesshimu matakwa ya wananchi na si matakwa ya CHAMA CHA KIFISADI
 
Wasithubutu kuichakachua rasimu ya katiba hii. wakubali tu kutega kalio watulie mpaka dawa ihingie
ril tusimame pamoja kuwa kuwapinga kwa uhuni wao

we mbona wakatoliki wamechakachua biblia hupigi kelele sembuse ccm kuchakachua katiba
 
Kama CCM inataka kupinga rasimu ya katiba kwa manufaa yao, sasa inabidi tutafute njia muafaka ya kuwaonasha tumewachoka na hii Tanzania si mali yoa ni mali ya wananchi. Kama yatafanyika maandamano makubwa ya kuwaambia wao si mabwana zetu, tuliwapa tu ridhaa ya uongozi, na kama wakitaka kuendelea kuongoza wankuja kutuomba kura, basi wahesshimu matakwa ya wananchi na si matakwa ya CHAMA CHA KIFISADI

anayekudanganya kuwa Tanzania Mali ya chadema ni nani?ni wananchi gani hao unaoeaongelea ambao wa ccm sio wananchi?tatizo mnajilisha upepo kuwa matakwa ya chadema ndo ya nchi Pumbafuuuuuuuuuuuu
 
Hawa hawa jipya wamekaa miaka mingi na katiba iliokuwa imesheheni mambo ambayo sio yalikuwa sii maslahi kwa watanzania sasa watanzania wamekuja juu na rasimu ya katiba mpya ndo wanajitokeza eti tunatoa tamko.
 
Pumbavu zao ccm na mashoga zao, nani ana muda wa kuwasikiliza wahuni na GENGE ala wahuni,wauaji kama hao,wafanye watakavyo ila kwa uwezo wa mungu sasa tuna hakika na maamuzi yetu ukweli juu ya dhuluma ya ccm ilyotutesa karibu miaka 50, hii dhambi itawa tafuna daima.
SHAME UPON THEM.hii rasmu itawatokea pumbuani
 
CCM wakatae hii rasimu ilivyo na kuwa watatumia mabaraza ya Katiba kupendekeza wanavyotaka wao.

Ndugu yangu hata wakiipinga mwisho wa siku itarudi kwenye tume ya katiba na wao wataamu naimani waryoba na akina baregu na wenzake awatakubali kuitoa katiba mbovu...na wakileta za kuleta tuna ingia barabarani kuandamana wananchi wote
 
Upepo huu ni mkubwa sana!!Hakuna anaye weza kuuzima!Acha wananchi waamue wapi wanataka waende.Tume imesema hayo ndiyo maoni ya wananchi!Wewe ninani hata uwaite wahuni?Watake radhi.
 
anayekudanganya kuwa Tanzania Mali ya chadema ni nani?ni wananchi gani hao unaoeaongelea ambao wa ccm sio wananchi?tatizo mnajilisha upepo kuwa matakwa ya chadema ndo ya nchi Pumbafuuuuuuuuuuuu
we ndiyo mpuuuuuuuzi kupitiliza, kunaneno chadema hapo juu? hii lazima ile kwenu. CCM ni kundi la mafisadi ambalo wanana wasiwasi siku wakitoka madarakani ni lazima wakakae nyuma ya nondo. na hii si siri ni jambo lililo wazi. na mpuuuuumbavu ni wewe na mafisadi wenzako jiheshimu ----- we, mimi sikutukana nilitoa maoni
 
Kuisahabikia CCM pamoja na mawazo yao inategemea na huyo anaeshabikia hy CCM. Haiwezekani mtu unaona kabisa ni jinsi gani nchi inazulumiwa kuporwa rasilimali, mikataba mibovu, elimu mbaya hakuna mtaala, Ufisadi, Uchumi legelege lakini kwa sababu tu tunaelement za kikoloni basi unamuona mwenye uwezo hawezi kukosolewa wala kuondolewa mahali alipo hata kama amevunja sheria. Wanachotaka CCM kwenye katiba ni kurudisha vile vitu ambavyo wao wanaona/wanajua vinawasaidaga katika mambo mbalimbali kama kwenye chaguzi. Unapowaambia CCM kuwe na tume huru, mgombea binafsi na Serikali tatu wanajua kabisa at the end of the day hawatakuwa tena kwenye ramani ya kisiasa. Ukiangalia suala la Muungano wa serikali tatu wanajua kabisa kwenye uchaguzi amabao utafanyika kwa Upande wa Tanganyika masalani Urais hawatakuwa na chao. Kura nyingi za hususani za Urais walikuwa wanazipata toka kwa Wazanzibar amabao wao zaid ya CCM na CUF hakuna chama kingine. Kwa mantiki hiyo CCM lazima wakae vikao usiku wa manane kama wanawanga ili kujinusuru kuondoka madarakani. CCm kwa sasa ni kama afya ya NELSON MANDELA. Lolote linaweza kujitokeza wakati wowote kuanzia sasa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom