Kimbelembele ni bidii ya kazi ndugu yangu, hii ndio kazi ya uenezi.
Naona hawa watoto wameamua kuvaa makoti ya baba zao.....embu cheki huyo wa kushoto wa kwanza...dah!!!1
Naona hawa watoto wameamua kuvaa makoti ya baba zao.....embu cheki huyo wa kushoto wa kwanza...dah!!!1
Ndoto!! ndoto!! ndoto!! Rostama yuko wapi na mihela ya Kagoda 40bl. Chenge wa vijisenti yuko at large. Nepi ikiguswa kitu EL itaungua na yeye mwenyewe Amegwaya!! Amka NEPI ni mchumia tumbo tu!!am huyu kijana ni noma alishawahi kuwaangusha rostam, lowasa na chenge akawavua magamba ndani ya siku 90 an akawashawishi wa tz kuvaa uzalendo na pia kuwakumbusha jinsi awamu ya nne ilivyoboresha maisha yao
....mkuu,natofautiana na ww kidogo,hapa kwny vyuo vikuu!mbeya kuna vyuo vikuu,mzumbe,teku nk.
hafu hiyo ni child abuse, wanawashindisha watoto na njaa wanawapa jero jero! hafu hao akina mama na hao wanaume ni moja kati ya kikundi cha wacheza ngoma, hapo hamna kitu!Halafu mbona mgambo watoto wameva mashati ya watu wazima? Ni yao kweli?
Nape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.
Hawa ndio wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mbeya?
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!