Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
Join Date : 22nd June 2012Ni Id yako yako ya ngapi hii?
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
KageuzwaJoin Date : 22nd June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Wewe ni DHAIFU nini? Au Umenunuliwa? Mbona MPYA? HII NDIO POSTI YA KWANZA INA MAANA NI NAPE KAGEUKA?
UNATAKA WATU KWAKUJADILI? WEKA PICHA BASI? VIJANA WA SHULE RAHISI KUWANUNUA...
NENDA SOKONI KAMA SUGU ALIVYOFANYA...
[MODS Tafadhali angalia huyu Mwana Jamii hii ni Mara ya Pili tunamuona Mpya Ameanzishwa Tarehe June 22nd 2012]
am huyu kijana ni noma alishawahi kuwaangusha rostam, lowasa na chenge akawavua magamba ndani ya siku 90 an akawashawishi wa tz kuvaa uzalendo na pia kuwakumbusha jinsi awamu ya nne ilivyoboresha maisha yaoNape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
Mtashabikia mwishoni mtabaki kutokwa povu kavu tu vinywani. M4C forever!Nape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.
Mtashabikia mwishoni mtabaki kutokwa povu kavu tu vinywani. M4C forever!
Kaka,Movement for Crusade is really forever, no doubt.