Nape awapasua vichwa CHADEMA

Nape awapasua vichwa CHADEMA

Chiume

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
48
Reaction score
18
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM.

Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili.

Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
 
Ni kweli kabisa maneno yako......

attachment.php
 
Kama huna cha kuandika sioni sababu ya kutokuwa msomaji wa thread za wenzako tuu kuliko kuandika upambaf Kama huu
 
Huu ***** kawadanganye wapemba
 
Toa evidence kivipi wanaumiza vichwa kwa ajili yake au umezuzuliwa na hio picha akiwa na hao watoto wa chekechea.
Ndio ujanja wenu mmeanza kutumia majina ya hao watoto halafu mtengeneze vitambulisho vya bandia vya kupigia kura mwaka 2015? Poleni yenu
 
Mkubwa!naongea kama mwanachama na mpenzi wa CHADEMA,kwamba CHADEMA kama chama makini,tunambo makini na ya msingi ambayo ni muhimu kwa watanzania wote kwa ujumla,Mtu kama Nape Nnauye ni Mwepesi mno hawezi kutumisha kichwa,tunaumizwa na jins ya kuwakombo wananchi toka mikono mwa utawala wa kifisadi,utawala kandamizi
 
Toa evidence kivipi wanaumiza vichwa kwa ajili yake au umezuzuliwa na hio picha akiwa na hao watoto wa chekechea.
Ndio ujanja wenu mmeanza kutumia majina ya hao watoto halafu mtengeneze vitambulisho vya bandia vya kupigia kura mwaka 2015? Poleni yenu

Mkubwa!Nape ni mwepesi mno
 
Nape ni debe tupu lisiloacha kutwika! Kwanza magamba wapo kuzimu ataiumizaje CHADEMA?
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

Thread kama hizi huwa sichangii
 
Maige,makamba na kingunge nao chadema???au unaongea tu kwa sababu mdomo aulipiwi VAT?maana hata hao wanamsema huyo nepi wako
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

Kama haujui linaloendelea si uulize jamani kunanini hapa ujibiwe? Au chukua kibwaya uanze kukatika mdundo ukikuingia, sio kuanzisha kasherehe kako utegemee waalikwa wa wenzio. PUMBA dot Umbumbumbu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

actions speak louder than words! njia iliyobaki ni kujifariji tu.
 
Labda hawapasui kichwa CDM kwa kuwa yeye ndiyo anayecheza ngoma ya CDM. Kila kitu anacopy toka CDM na kukifanyia implemention. Ona operetion ya Vua Gamba, Vua Gwandwa na Vaa Uzalendo ni copy toka M4C
 
Teh!Teh!Teh! hapo kwenye picha anagawa kadi za CCM au?
Mkuu usilolielewa ni kuwa DOGO (NEPI)anaumiza vichwa vya MAGAMBA na wala sio CDM!!!!!!!!
 
Na rafiki yake Kikwete, Shibuda, usimsahau.
 
day one Nape anapewa ukatibu uenezi, nlijua tu kakubari kujichimbia kaburi mwenyewe, mwalimu wangu alipenda kusema "dying without bitterness", now days yashatimia, amebaki yupo yupo tu, anaropoka anavyojisikia, huwezi mtofautisha na Gadafi aliyeamini Libya hakuwezi kuwa na mabadiliko, na hata alipoona hali ngumu aligoma kusalimu amri, same to nape, kashashikwa pabaya amebaki tapa tapa tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom