Nafikiri wote wawili hamjanielewa. Nyamizi huko nyuma na mie tumelielezea vizuri zaidi hili.
Nyie kama Great Thinker msiwe mnachukua maana inayoonekana moja kwa moja. Nendeni ndani zaidi ya Bongo zenu na mtajua maana halisi ya hiyo picha na kwa nini imetumika hapo.
Sikonge uandishi wake ndivyo ulivyo na kama hutataka kutumia ubongo wako, hutamuelewa.
Kwa taarifa yako hata hawa hawadanganyiki. Nafikir kawapata wengi kiasi hiki kwa kuwa kulikuwa na ngoma na maturumbeta, lakini ukisema 'Peopleeeeeeeeeeeez!! Utausikia mwangwi wake.
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM.
Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili.
Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Chama Cha Mapinduzi Kimeandaa Mkutano Mkubwa wa Hadhara kwa wananchi wote, Siku ya Jumamosi, tarehe 09/06/2012, Katika Viwanja vya Jangwani Kuanzia saa 6 mchana.
Maudhui;
" Kutoa Msimamo Wake Juu ya Masuala Yanayogusa Mustakabali wa Taifa. Hivyo Chama Kitatumia Fursa hiyo Kuelezea Watanzania Juu ya Msimamo Wake Katika Mambo yafuatayo:
1. Hatma ya maisha ya Watanzania
• Ajira
• Miundo mbinu ya Barabara, Reli, Bandari Na Anga.
• Bei za bidhaa mbalimbali.
• Umeme
• Rasilimali za taifa
2. Msimamo wa Chama Cha Mapinduzi kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya.
3. Vurugu za Zanzibar.
Katika Mkutano huo, Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali watakuwepo na kutoa ufafanuzi juu ya masuala hayo yaliyoainishwa kama msimamo wa Chama Cha Mapinduzi.
Chama Cha Mapinduzi, kinawaalika wanachama wake wote, wakereketwa na wananchi kwa ujumla kuhudhuria katika mkutano huo mkubwa. Mkutano utafanyika kwa amani na utulivu na wote mnakaribishwa.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Imetolewa na:
JUMA SIMBA
KATIBU WA SIASA NA UENEZI
MKOA WA DAR ES SALAAM.
07/06/2012.
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM.
Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili.
Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
katika mtu ambaye hatuwezi kumtaka hata mara moja ni nape.we kama ni mfuatiliaji nape amekuwa mtu wa kukibomoa chama chake mwenyewe ata wana nyinyiemu wenzie wanaona kabisa walikosea kuchagua,Nape ame kuwa msemaji wa chadema kila kukicha. Na katika mtu ambaye amechanganywa na M4C ni Nape na ndio maana sikuhizi amekuwa waziri wa ujenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.