Tatizo la kufanya jambo kisha unafikiri badala ya kufikiri kwanza ndo unatenda jambo,huyu dogo alikuwa anauchonga sana hakujua kwamba wanaomtuma walimweka kama vuvuzela tu la kusemea akidhani yuko pamoja nao,Nape anauchonga tu lakini ni empty magazine,siasa ndani ya CCM ni ngumu sana maana hazina wa kumwamini,alikuwa anachombezwa nae akaona amemaliza,mwisho wenzie wakamwambia hawajakutana road,bado hakujifunza kitu,na nilisha wahi kusema Nape hatoshi na alikuwa anajiongopea tu,na sijui anaishi wapi ndani ya hii dunia na sijui yuko chama gani,HIVI NAPE ULITEGEMEA KABISA UKIZUNGUKA NCHI NZIMA NA UKASIMAMA MAJUKWAANI KUSEMA EL NI FISADI ANGETOKA CCM?HAKUNA WA KUMFUKUZA EL NA VJISENTI NDANI YA CCM,Angalia Nape utamwagishwa unga japo unakula ndani ya chama cha kifisadi.