mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
kwa pointi ya nape kuwa siyo lazima kuwe na ushahidi badi watu wakihisi na kuongea inadhihirisha uchafu wake bac anakiri chama chao kimejaa mafisadi wengi wakiwemo kina chenge,lowasa et al bt hawachukuliwi hatua.wao kama chama wanafahamu hivyo lakini hakuna uchukuaji wa maamuz magumu kwan ni kanuni zao kulea mafisadi na wezi.watasema yote mpaka tufike 2015.
Akiwa kama "mmoja wa watendaji wa chama" hana haki ya kuongelea hadharani maovu ya baadhi ya viongoz wa chama kama vile yeye ni chama kingine. Anatakiwa achukue hatua kuhakikisha hao wasio wasafi wanaondolewa chaman kama hawawez basi yeye atoke kwe nafas za utendaji kwa kushindwa kwake kuwashugulikia.
Mwanao ana tabia mbaya baba unaenda kulalama kwa jiran?huez kua mzika upstairs.
Mkuu, mi sitaki kukosoa kuhusu mambo ya kina Magamba, langu ni kuwa hapo kwenye red, usitutilie gundu chama letu
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Nape huyo huyo alishakaririwa akiwaita watu wanaohama CCM kuwa ni sawa na 'oil chafu'. Akesema kwani unapoendesha taasisi kubwa kama CCM ni sawa na gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya.
Kama Lowassa siyo msafi aka ni oil chafu si wasafishe hili gari la CCM kwa kuimwaga hii oil chafu na kuweka oil mpya? Kubadilisha oil mara kwa mara ni muhimu sana to keep your car running well. Over time your oil breaks down and your filter becomes clogged with contaminants.
Mfano wa oil chafu hapo chini baada ya gari kutembea miles 10,000. Ukiiangalia kwa macho tuu oil siyo safi kabisa. Kwa nini sasa iendelee kuachwa kwenye gari wakati hata aliyeunda hilo gari alishasema hiyo oil ni chafu? Wenye hii gari walituambia juzi juzi kuwa wataimwaga ndani ya siku 90 lakini wapi. Caution: take great care when working with a hot engine.
akiongea na makutanoshow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia ccm baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake cc na nec siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu lowassa kwamba siyo msafi na hata nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Nafikiria jinsi Nape atakavyoonekana akitiwa POLONIUM maana mwenyewe alivyo kama ametiwa mkorogo. Natamani kufa nisiione tanzania ajayoAkiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais. Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi. Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.