hahahaa msaidie mkuuKama Latex! Nimekusaidia kusema! Usiogope kusema Mkuu
Kutokana na hizo post chache tuu nilizosoma najenga nadharia ya CDM na lowassa CCM na Zito kabwe.
Mwache kijana endelee kupuliza vuvuzela!, kwenye uchaguzi wa ndani wa CCM mwezi November, mtamshuhudia akionja joto ya jiwe!. Hapa jf atapaona kama kituo cha polisi!.Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Kutokana na hizo post chache tuu nilizosoma najenga nadharia ya CDM na lowassa CCM na Zito kabwe.
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Mkuu asungwilemwaifunga, nimependa jinsi ulivyolitaja jina la kijana kwa kirefu, tunashukuru sana kwa matumizi ya DNA kuchelewa kufika humu nchini kwetu, uchelewaji huo umesaidia wengi!. NB. Naombeni msiniulize kitu chochote kuhusu posti yangu hii!, I'm just thinking loud!.Hata kama CCM ina wazee lakini ni vema Kijana Nape Moses Nnauye anasimamia anachokiamini. Piga ua huo ndiyo msimamo wake. Napenda hiyo. Siyo watu wanafiki kwa ajilli ya cheoau njaa. Big Up.
Itakuwa JK kamdanganya Nape kuwa chaguo lake ni MEMBE na kuwa atahakikisha vyombo vya usalama vinatoa taarifa ya kumchafua Edward Lowassa wakati wa mchujo wa CC ili kwa kigezo hcho Eddo aondolewe na kumpitisha kibaraka Membe.
Lakini jambo ambalo Nape na JK wanasahau ni kuhusu ripoti hiyo hiyo mnamo mwaka 2005 ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TISS ndugu Apson alileta taarifa ya usafi wa kimaadili na JK kuwekwa nafasi ya sita kutokana na tabia zake ambazo usalama uliziona, hata hivyo wajumbe wa CC walizingatia vigezo vingine vya siasa na ushindani na kumpitisha JK apambane na mwandosya na salim na hatimaye akashinda.
Nape awe makini sana anatumika kama galasa kwa JK na Membe, NEC inayochaguliwa na CCM hawana uwezo wa kumpitisha mnafiki MEMBE, nape bado ni kijana asipoangalia hatua zake atajikwaa mapema sana na kwake na Riz 1 , 2015 itakuwa ni giza kubwa sana kwao.
Fitina mwiko, acha basi fitina, so far, he is the best that CCM has ever had, ukimlinganisha na wengine wote waliowahi kushika position hiyo!, tatizo lake ni dogo tuu, "he talks too much!, sometimes senseless sometimes nonsense but he just talk!.Nape hajui kazi yake