Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
familia ikikosa kichwa chake ama msemaji mkuu hata MBWA anaweza toa maamuzi
Kiitifaki chama tawala kiko juu zaidi ya serikali...so alichokifanya Nape ni sahihi.
Hii inaitwa verbal diarrhoea.
Ni ugonjwa unaowashambulia sana wanasiasa uchwara.
Dalili zake kuu ni kusema ovyo, kuropoka,kusema bila kufikiri,
Dawa ni kuachana na siasa
Yaani hata mtoto mdogo ukimuuliza atakwambia si sahihi! Waziri anapokea maagizo kutoka kwa wafuatao:-
1. Rais(including makamu wake)
2. Cabinet
3. Waziri Mkuu
4. Kamati za bunge(mara nyingi huwa ni ushauri)
5. Spika wa bunge.
Kwenye ngazi ya chama Nape ni katibu mwenezi so hawezi kumwagiza waziri kama alivyofanya. Ataweza kufanya hivyo tu pale ambapo chama kimekaa katika vikao vyao na kutoa maagizo ya jumla kwa serikali na si kwa waziri mmoja
mmoja, otherwise ipo siku atamwagiza hata Waziri Mkuu na Rais. Kwa kifupi Nape alilewa madaraka na ni mtu wa publicity sana, we mfuatilie records zake utaona!
Chama tawala vs Serikali.itifaki ipi hiyo mkuu?
Nakubaliana na wewe kabisa,na kwa wengine mfano Wenje(juzi nasikia kaharisha tena dhidi ya NCCR) na Nasari ugonjwa huu umeshakuwa chronic kwao.