Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,287
- 27,872
Sijamuelewa Nape, kasema tayari ccm wameshaambiwa hayo masharti! Wameambiwa na nani? Kama Slaa ndo kawaambia sasa lililobaki ni jukumu la Nape kuwaambia ccm wenzake hayo masharti. Kwa nini tena liwe jukumu la Slaa kuwaeleza wana ccccmmmm hayo masharti?Katibu wa itikadi n uenezi wa chama cha mpinduzi (ccm) Nape Nnauye amemtaka katibu kuu wa chadema dr. Wilboard Slaa kuwaeleza Watanzania fedha ambazo amepewa na nchi za Ulaya kwa ajili ya uchaguzi mkuu na masharti yake ni yapi na asipoeleza CCM itayaweka bayana.
Nape alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyikakijiji cha Biharamulo mkoani Kagera amabapo alisema wanaushahidi wa masharti aliyopewa Dr. Sla kwa niaba ya chama chake na lengo za nchi hizo la kufanikisha uchaguzi mkuu
Alisema kabla ya kuanza kutumia fedha hizo ni vemaDr. Slaa akawaambia watanzania masharti gani amepewa ili wapime na kuona dhamira ya chama hicho kinyume CCM itaeleza kila kitu hatua kwa hatua na kutaja masharti yote amabayo Dr. Slaa amepewa na waliotoa fedha hizo
Akifafanua, Dr. Slaa yupo nchi za Ulaya na kilichompelek ni kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu na tayari nchi kadhaa zimempa fedha tayari kwa kwa masharti ambayo lazima wayatekeleze na ccm tayari imepata masharti hayo, hivyo kabla ya kuwaambia Watanzania, Dr. Slaa aseme akishindwa hawatakaa kimya.
Alisem kwa sehemu kubwa fedha amabazo zimetolewa na baadhi ya nchi za ulaya kwa chadema hazina nia njema kwa Watanzania ndio maana wanataka Dr. Slaa awe mkweli kwa kueleza masharti gani aliyopewa.
Chanzo: jamboleo
June 16, 2015
Weeeee weeee jamaaa wewe! Mambo gani unaanzisha tena? Usiombe kukutana na marehemu, itabidi nawe uwe marehemu. Nakushauri ufute usemi.Mbona hawasemi alipo BALALI !!!
Katibu wa itikadi n uenezi wa chama cha mpinduzi (ccm) Nape Nnauye amemtaka katibu kuu wa chadema dr. Wilboard Slaa kuwaeleza Watanzania fedha ambazo amepewa na nchi za Ulaya kwa ajili ya uchaguzi mkuu na masharti yake ni yapi na asipoeleza CCM itayaweka bayana.
Nape alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyikakijiji cha Biharamulo mkoani Kagera amabapo alisema wanaushahidi wa masharti aliyopewa Dr. Sla kwa niaba ya chama chake na lengo za nchi hizo la kufanikisha uchaguzi mkuu
Alisema kabla ya kuanza kutumia fedha hizo ni vemaDr. Slaa akawaambia watanzania masharti gani amepewa ili wapime na kuona dhamira ya chama hicho kinyume CCM itaeleza kila kitu hatua kwa hatua na kutaja masharti yote amabayo Dr. Slaa amepewa na waliotoa fedha hizo
Akifafanua, Dr. Slaa yupo nchi za Ulaya na kilichompelek ni kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu na tayari nchi kadhaa zimempa fedha tayari kwa kwa masharti ambayo lazima wayatekeleze na ccm tayari imepata masharti hayo, hivyo kabla ya kuwaambia Watanzania, Dr. Slaa aseme akishindwa hawatakaa kimya.
Alisem kwa sehemu kubwa fedha amabazo zimetolewa na baadhi ya nchi za ulaya kwa chadema hazina nia njema kwa Watanzania ndio maana wanataka Dr. Slaa awe mkweli kwa kueleza masharti gani aliyopewa.
Chanzo: jamboleo
June 16, 2015
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje kuchangia. Kinara ndo nini? toa "r" weka "n". Halafu unaacha acha maneno...... anza na 'Mwalu" pale kwenye red utaeleweka.Dr Slaa hawezi kujibu maswali ya 'nazi' na 'ubongo wa samaki'! Hakuna asiyeujua uwezo dhaifu wa Vuvuzela NEPI!
Kwa kumsaidia Nape, kati ya masharti aliyopewa ni: Moja: kuwalinda Tembo wa Tanzania na meno yao dhidi ya ma-CCM, na Kinara wao Mkuu anayewamaliza, the great Elephant Dentist. Pia mbili: aliambiwa Rasilimali za Umma zilindwe dhidi ya Mafisadi wa CCM na pia dhuluma za wizi wa madini, Biashara za Sembe na Ufujaji unaoliwa na Wachina. Na sharti la tatu ni kuhakikisha Wana-CCM walioficha fedha nje wanarejesha ili kuijenga nchi itakayoachwa mahame kutokana na wizi unaoendelea sasa chini ya Ma-CCM.
Matusi hayasaidii...jifunzeni kuwa na heshima.
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje kuchangia. Kinara ndo nini? toa "r" weka "n". Halafu unaacha acha maneno...... anza na 'Mwalu" pale kwenye red utaeleweka.
Hujanielewa!wewe ndio haujui,hakutaka kumtaja jina huyo Elephant dentist lakini jina alikoweka hapo linashabiana na huyo elephants dentist..
kijana tumia akili kuchekecha mambo sio mpaka utafuniwe kila kitu
wewe ndio haujui,hakutaka kumtaja jina huyo elephant dentist lakini jina alikoweka hapo linashabiana na huyo elephants dentist..
Kijana tumia akili kuchekecha mambo sio mpaka utafuniwe kila kitu
hakuna ki2 km hicho duniani..dentist au unamainisha porches
Katika mambo yanayoshusha hadhi na heshima ya mtu ni pamoja na kuweka rehani ufahamu wako na ukaacha matamanio ya nafsi yatawale akili yako, kwa mimi na yeyote anayekujua anashangazwa na comment nyepesi kiasi hiki, ni kwa sababu moja kuu umeweka mahaba mbele katika hili.
Inawezekana, haujajua RASILIMALI za CCM, CCM wana rasilimali more than 3trillion worth.,,unahoji matumizi ya Rav 4 kila Mkoa ambazo gharama zake haizidi milioni 900, na ruzuku ya CCM kwa Mwezi ni zaidi ya 1.2 bilioni.
HOJA ambayo conclusion yake umetoa shutuma kuwa ni Wizi ni hoja chabga mno kujadiliwa kwa mtazamo huo tena na mtu kama wewe.
Yaani ww nae kubwa jinga kbs mambo gani hayo unauliza ww kiazi hivi kwa akili yako ni ln Tanzania imeacha kuomba misaada kwa nchi za magharibi? na ni mara ngapi hayo masharti yamewekwa wazi nafikiri ww ni miongoni mwa vilaza humu JF
Hahaha mkuu umenichekesha sana! Ukikutana na marehemu na wewe utakuwa marehemu!! Back to the topic, mbona nape ameanza kupumua kwa nyuma, shida ni nini? Kama anayajua masharti kwanini asiseme? Toka lini Dr slaa anaushirika na wajinga!?Weeeee weeee jamaaa wewe! Mambo gani unaanzisha tena? Usiombe kukutana na marehemu, itabidi nawe uwe marehemu. Nakushauri ufute usemi.
vipi ile mikataba 20 ya gesi iliyosainiwa na jk na wachina ndani ya dakika 1 tulipewa masharti gani?
Hahaha mkuu umenichekesha sana! Ukikutana na marehemu na wewe utakuwa marehemu!! Back to the topic, mbona nape ameanza kupumua kwa nyuma, shida ni nini? Kama anayajua masharti kwanini asiseme? Toka lini Dr slaa anaushirika na wajinga!?
naichukia escrow kama mauti lkn kwa hili analolifanya SLAA akijua mipango mibaya ya wazungu wanavyoliangamiza bara la afrika mfn libya wananchi wanafia majini kama mamba kisa vibaraka wa wazungu,ushabiki pembeni hafai tena tunamtaka mbatia au mbowe.Humu jf kuna watu wana mawazo finyu dk slaa akamatwe wale wezi wa escrow hapana ni wasafi