Detective Jeff
Senior Member
- May 22, 2015
- 127
- 14
slaa mjinga sana watu wanawaza kuimarisha uchumi wa ndani yeye anaenda kualika wakoloni...hatufai kabisa huyu babu
As if hujaona rais wako alivyokuwa anapiga masafa ya kati na marefu ......
slaa mjinga sana watu wanawaza kuimarisha uchumi wa ndani yeye anaenda kualika wakoloni...hatufai kabisa huyu babu
Unajibishana naye wa nini huyo Mkuu. Huoni kuwa siyo akili zake? Njaa ndiyo inamsumbuaSlaa atakuletea balaa gani ndugu? na akamatwe na kufungwa kwa kosa lipi?
Deni la taifa Tril 35 na auditing hawataki kusikia! Huyu jamaa mwili mkubwa lakini kichwani kuna walakini sijui kwa nini??
Nilikuwa nakuona mmoja ya watu walio timamu kichwani kumbe nilikosea sana! Hata kuwa member hapa JF ni bahati mbaya.
Ni kweli mkuu, mbona hamuulizi mzee wa mamvi anayetumia mabilioni ya shilingi katika kuisaka Ikulu, ambazo anadai anapewa na marafiki zake wafanyibiashara wakubwa sana hapa nchini?Nape amalizane kwanza na Lowasa.
Ulitaka akuopoe we we use kimada wake?I usually talk straight, uchukie ukweli wangu, sio mm...kwani sio kweli Dr. Slaa kapora mke wa Mahimbo...!? Kwani sio kweli Dr. Slaa kaenda Ulaya kuomba fedha za uchaguzi..!? Kwani sio kweli Dr. Slaa kaisaliti ndoa yake na Rose Kamili na watoto kawatelekeza...!? Kwani sio kweli Dr. Slaa alikuwa padre akaachishwa baada ya kujulikana anafanya ufuska au uzinzi wakati yeye ni padre...!! Unajua kilichomwachisha upadre...!? Unajua ni vigumu mnoo mnooo mnoooooo kuachishwa upadreee....!!? Sasa nimekosa nn hadi useme siko timamu...!? Au naongea uongo..!? Nikupe namba ya Mwana mama Rose Kamili uongee nae ujue machungu anayopata katika maisha yake..!? Kamtesa sana mwanamke wa watu...Dr. Slaa ni janga....kwnn unafikiri juu juu tu...!!! Nasema kweli daima...!!!
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!
slaa mjinga sana watu wanawaza kuimarisha uchumi wa ndani yeye anaenda kualika wakoloni...hatufai kabisa huyu babu
slaa mjinga sana watu wanawaza kuimarisha uchumi wa ndani yeye anaenda kualika wakoloni...hatufai kabisa huyu babu
Na Lowasa ?Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!
Kumbe ni kweli nape alipatikana kwenye mbio za mwenge.Katibu wa itikadi n uenezi wa chama cha mpinduzi (ccm) Nape Nnauye amemtaka katibu kuu wa chadema dr. Wilboard Slaa kuwaeleza Watanzania fedha ambazo amepewa na nchi za Ulaya kwa ajili ya uchaguzi mkuu na masharti yake ni yapi na asipoeleza ccm itayaweka bayana.
Nape alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyikakijiji cha Biharamulo mkoani Kagera amabapo alisema wanaushahidi wa masharti aliyopewa Dr. Sla kwa niaba ya chama chake na lengo za nchi hizo la kufanikisha uchaguzi mkuu
Alisema kabla ya kuanza kutumia fedha hizo ni vemaDr. Slaa akawaambia watanzania masharti gani amepewa ili wapime na kuona dhamira ya chama hicho kinyume CCM itaeleza kila kitu hatua kwa hatua na kutaja masharti yote amabayo Dr. Slaa amepewa na waliotoa fedha hizo
Akifafanua, Dr. Slaa yupo nchi za Ulaya na kilichompelek ni kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu na tayari nchi kadhaa zimempa fedha tayari kwa kwa masharti ambayo lazima wayatekeleze na ccm tayari imepata masharti hayo, hivyo kabla ya kuwaambia Watanzania, Dr. Slaa aseme akishindwa hawatakaa kimya.
Alisem kwa sehemu kubwa fedha amabazo zimetolewa na baadhi ya nchi za ulaya kwa chadema hazina nia njema kwa Watanzania ndio maana wanataka Dr. Slaa awe mkweli kwa kueleza masharti gani aliyopewa
Chanzo jamboleo
June 16, 2015
Mmeshindwa kuwafunga mafisadi leo wanagombania form za urahisi ,mje mumfunge slaa mzalendo hasie na tuhuma yoyote ya wizi wa rasilimali zetu!!!?Huyu Slaa huyu atatuletea balaa...hivi kwanini asikamatwe afungwe.