Tatizo la Nape ni kuwa, tayari alikuwa ameshalaani kitendo kabla hata ya kuunda tume.Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.
Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
.....kazi anayo boss wako na bashite wake....Asee..kazi ipo
Basi umepotea maana hueleweki upo wapiJapo siungi mkono madawa ya kulevya pia siungi mkono utaratibu uliotumiwa na makonda pia siungi mkono uvamizi wa clouds pia siungi mkono rais anavyomlinda wakati ana vyeti feki pia siungi mkono kutumbuliwa kwa nape
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.
Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mimi nafikiri Nape alishaikabidhi report toka jana, tena yawezeka kakabidhi kwa PM & VP tu, maana tayari alikuwa anajua msimamo wa raisi. Pia nafikiri toka jana Nape alikuwa anajua kuwa siku zake kama waziri zinafikia mwisho. Kama alishakabithi report lazima hatimaye itafanyiwa kazi. Anayejua kuwa report ilikuwa haijakabidhiwa kwa wakubwa za athibitishe tujua kuwa kazi yote iliyofanyika katika masaa 48 plus yaliyopita ilikuwa ni bure!
Hiyo ripoti itamfaa yeye mwenyewe Nape na akina Gwajima.Sasa akaungane na akina madame SepetungaKwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.
Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
With people of this type in this country..the bright future fr Tz s far to be reached, peoples mindset s mud!.....kazi anayo boss wako na bashite wake....
GSM na masogange ni wauza unga na huko ndipo Makonda hushindaKikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
MWISHO. JIONGEZENI
Tupatupa hayupo Lumumba yeye yupo UfipaMzee Tupatupa, hivi kwa nini hutoki huko Lumumba? Mboana huwafananii kabisa wakina Lizaboni and the likes ambao hao hawana muda wa kufikiri zaidi ya kushabikia?
huyo Boss wako Daud ahamie nyumbani kwa msukuma mwenzake kwani huku mitaani atanyooshewa vidole mpaka akonde.Hiyo ripoti itamfaa yeye mwenyewe Nape na akina Gwajima.Sasa akaungane na akina madame Sepetunga
kama namwona nape akiungama kwa lowasa...sasa ni wkati wa kuanza kupata uhalisia wa liel goli la mkono lililomnyima Lowassa urais...maana wenye kujua ukweli ni hawa kina Nape et al.....sasa ndio wakati muafaka wa ukweli wote kutamalaki...maana huyu jamaa ameamua kwa roho mbaya yake kuwapuuza hata waliomfikisha hapo.....
Camera za CCTV ushahidi upo lazima angelaani, ingekuwa ni story za Mtaani angepaswa kusubiri upeleleziTatizo la Nape ni kuwa, tayari alikuwa ameshalaani kitendo kabla hata ya kuunda tume.
Sasa ulidhani tume ingekuja na mapendekezo gani?
Pia mkuu alishalimaliza ilo swala ambalo lilikua linaendeshwa kimhemko.