Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

Unaweza kumchezea Janeth ukabaki salama lakin ukimchezea Paul hutobaki salama!
 
Mzee Tupatupa, hivi kwa nini hutoki huko Lumumba? Mboana huwafananii kabisa wakina Lizaboni and the likes ambao hao hawana muda wa kufikiri zaidi ya kushabikia?
Huyi ni tanzagiza!!
 
Kweli watu hamju kusoma na kusikiliza maneno.

Nape jana alishajua kuwa kimewakaaaaaaaaa
Maneno ya kumsifu Rais sio yeye ilibidi, alikuwa mpole kama gogo.

Ameisoma namba, Mh. JPM ni hakunaga. Gemu zote zitanaswa tu
 
Mnawataja watu mliowatongoza wakawakataa, mnawataja watu mliokuwa na visasi nao, mnawataja watu waliokataa kufanya kazi mlizowatuma, mnafanya maigizo halafu mnasema mnapigana vita ya madawa ya kulevya.

Roho inaniuma na najutia kura yangu niliyopoteza 2015.

Mungu saidia tufike 2020.
Acha kuamini Sana kwenye udaku. Nayokwambia ni sahihi. Hizi kelele ni vilio vya wauza madawa
 
Nape hujawasaliti Watanzania umekuwa mkweli sana inawezekana uliwahi kuwa waziri ktk kipindi na maana umeonekana unfit katika kizazi cha uongozi uliojaa cowards, wanafiki na wazandiki. Muda wako muafaka wa kuwa kiongozi ktk taifa lenye kutetea haki unakuja na surely utang'aa mbele za watesi na adui zako waliokuona hufai kukutupa kama ganda la ndizi. Ndiyo kwanza unaanza safari ya mafanikio brother take courage
 
..sasa ni wkati wa kuanza kupata uhalisia wa liel goli la mkono lililomnyima Lowassa urais...maana wenye kujua ukweli ni hawa kina Nape et al.....sasa ndio wakati muafaka wa ukweli wote kutamalaki...maana huyu jamaa ameamua kwa roho mbaya yake kuwapuuza hata waliomfikisha hapo.....
Magufuli anaishi katika yale anayoyaamini si mtu anayeamua kwa kuangalia mvumo wa upepo

Muliomo kwenye mfumo na munaoondoka kwa kujitakia wenyewe..lieleweni hilo.
Mwisho wa unafiki ni mauti buriani Nape Mosses Nhauye, tulikupenda zaidi lakini roho ya Ukaidi imekuponza.
 
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kwakwel wat sjui muna akili za ain gan?hiv huyu jmaa mmemsahau mmb yake kpnd ni mwenezi alivykuwa anatmia ubavu wake?achen ksahau asiri ya mtu ishin kwa record kfkia maleng
 
Nape ameshanisamehe kwa jinsi nilivyomchukiaga Enzi zile
 
You can decide to be fo.o.olish, ts still ok..what promise, mention..this s the second year out of 5 think! bt those having eyes to see and gauge the difference from the previous phase have a lot to testfy, it should not necessarily be you..bcs it depends with the way you define your live, your future and taking actions for your wellbeing. people will continue be punished dont even ask, tell them to stop doing wrong, dont ask why punished..time for laissezes faire leadership and jokes has gone..dont even dream it will not come back..most of you sounds victims of decisions from this regime..dont write driven by hate and envy..put up your brain for your own development! keep time..
...what the fu.ck are you talking about here?....your english is broken just as it is for your leader....look at you!...you can't even express yourself in a logical manner....who told you that i depend on somebody for my development??...for your information don't think that Tanzanian people are so much relying on the filthy status quo any more....because they have realized that they made a big mistake in 2015...by electing a hopeless dreamer....you can see it even in the ccm inner circle....people are fucki.ng tired of the status quo....and please don't respond to this post.....because you are an idiotic fool...
 
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Eti yuko wapi Nape?
 
Acha kuamini Sana kwenye udaku. Nayokwambia ni sahihi. Hizi kelele ni vilio vya wauza madawa
Siku mkishituka mkaacha kukariri "MADAWA YA KULEVYA " itakuwa a little bit too late. Sijaona alichifanya Paul / Daudi kuhusu madawa ya kulevya ,
 
...what the fu.ck are you talking about here?....your english is broken just as it is for your leader....look at you!...you can't even express yourself in a logical manner....who told you that i depend on somebody for my development??...for your information don't think that Tanzanian people are so much relying on the filthy status quo any more....because they have realized that they made a big mistake in 2015...by electing a hopeless dreamer....you can see it even in the ccm inner circle....people are fucki.ng tired of the status quo....and please don't respond to this post.....because you are an idiotic fool...
Type of words, art of speaking prove s how fo.o.lish you r..ccm inner circlex2! you know nothing you stu.pid with your chicken brain!
 
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wewe utoke tu huko Lumumba, jamaa yenu amekata mirija yote pale Lumumba hata mkikaa kijiweni hamna 'ya kahawa', kwa sasa ufipa kutakuwa mahali salama kwako.
 
Type of words, art of speaking prove s how fo.o.lish you r..ccm inner circlex2! you know nothing you stu.pid with your chicken brain!
....i told you not to respond to my post you bit.ch....because i get nausea out of reading your nonsense...you are a true representation of the ignorant status quo, hence you will never understand my type....
 
If people would be awarded for insulting..you r a winner, take a trophy bt your stupidity will kill you one day, mark my word you fo.o.lish toy.
 
Back
Top Bottom