Wakulaumiwa ni Nape mwenyewe:Tulimshauri kuwa kwakuwa jpm si kiongozi bali ni mtawala hivyo yeye kama katibu wa itikadi na uenezi wa ccm ahakikishe jpm hapewi lungu la kuwa mwenyekiti wa ccm kwani atawavuruga wao ccm na kuvuruga nchi lakini hakusikia.Pia tukamshauri kipindi cha bunge maalum la katiba kuea awashauri ccm wenzake waikubali katiba pendekezwa ya Warioba iliyojaa maoni ya wananchi likiwemo la kumpunguzia raisi madaraka nalo akapuuza wakati alikuwa na ushawishi ndani ya ccm.Sasa matokeo yake jpm anaivuruga ccm pamoja na nchi bila mtu wa kumzuia